NAHITAJI BUSINESS PARTINER
Hallow habari wana JamiiForums
Naitwa Mr Ryoba Wantora, mjasiliamali na mmliki wa kampuni ya Rioson Wood Products iliopo Iringa, inayohusika na uzalishaji na usambazaji wa MBAO na MILUNDA mikoani hapa Tanzania.
Kampuni hii ni ya kwamgu binafsi. na Tunamshukuru Mungu kwa sasa inajulika sehemu mbalbali kupitia matangazo yetu. na kuna baadhi ya makampuni yametiamini kufanya noa kazi kama vile:-
Hivyo upande wa soko Tunamshukuru Mungu tumetengeneza customer base imara na tutazidi kuji-brand zaidi.
- Tanzania Building Agency (TBA)
- Suma JKT
- Natinal Housing (NHC)
- China Railway Engineering and Construction (CRJE)
- Pamoja na wauzaji wa Mbao binafsi mikoani (Dodoma, Tanga, Dar, Morogoro, Mwanza, Arusha n. k.)
MALENGO YETU
1. Kua best seller wa Wood material (Timber, poles, na round wood/milunda ndani na nje ya Tanzania. kwani uhitaji hada soko la nje ni mkubwa (Nairobi, Zambia, Congo, Sudani n.k)
2. Kufungua Timber mikoani.
3. Kuwekeza katika mashamba ya miti. (1000 ekaries)
MAFANIKIO YETU MPAKA SASA
1. Tumefanikiwa kumuliki na kupanda mti ekari 70.
2. Kufungua branch (Iringa mjini na Dodoma)
3. Kupata tenda ya kusupply Mbao katika miladi ya ujenzi ya selikali.
4. Kujitangaza na kujulikana sehemu mbalimbali.
5. Pia tunamashine za kuzalishia mbao tatu.
NIA YANGU
Lengo na nia yangu nahitaji business partner alie seriously. Ambae atakua tiali kuwekeza rasilimali Fedha, akili na mda wake. pia awe ni mwenye nia ya dhati ya kuwekeza, mwenye mtazamo na malengo ya mda mrefu.
Hongera sana kwa kujituma. Business partner ni muhimu Sana lakini uwe Makini sana. At this level usichague business partner kwa sababu ya mtaji tu. Angalia sifa ya ziada,mfano kama ukipata mtu ambaye ana jina kubwa ambalo unaweza kulitumia kupenetrate kirahisi kwenye market. Mfano anaweza kuwa boss kwenye ofisi kubwa mwenye influence kwenye manunuzi lakini pia akawa na mtaji wa kutosha nkNAHITAJI BUSINESS PARTINER
Hallow habari wana JamiiForums
Naitwa Mr Ryoba Wantora, mjasiliamali na mmliki wa kampuni ya Rioson Wood Products iliopo Iringa, inayohusika na uzalishaji na usambazaji wa MBAO na MILUNDA mikoani hapa Tanzania.
Kampuni hii ni ya kwamgu binafsi. na Tunamshukuru Mungu kwa sasa inajulika sehemu mbalbali kupitia matangazo yetu. na kuna baadhi ya makampuni yametiamini kufanya noa kazi kama vile:-
Hivyo upande wa soko Tunamshukuru Mungu tumetengeneza customer base imara na tutazidi kuji-brand zaidi.
- Tanzania Building Agency (TBA)
- Suma JKT
- Natinal Housing (NHC)
- China Railway Engineering and Construction (CRJE)
- Pamoja na wauzaji wa Mbao binafsi mikoani (Dodoma, Tanga, Dar, Morogoro, Mwanza, Arusha n. k.)
MALENGO YETU
1. Kua best seller wa Wood material (Timber, poles, na round wood/milunda ndani na nje ya Tanzania. kwani uhitaji hada soko la nje ni mkubwa (Nairobi, Zambia, Congo, Sudani n.k)
2. Kufungua Timber mikoani.
3. Kuwekeza katika mashamba ya miti. (1000 ekaries)
MAFANIKIO YETU MPAKA SASA
1. Tumefanikiwa kumuliki na kupanda mti ekari 70.
2. Kufungua branch (Iringa mjini na Dodoma)
3. Kupata tenda ya kusupply Mbao katika miladi ya ujenzi ya selikali.
4. Kujitangaza na kujulikana sehemu mbalimbali.
5. Pia tunamashine za kuzalishia mbao tatu.
NIA YANGU
Lengo na nia yangu nahitaji business partner alie seriously. Ambae atakua tiali kuwekeza rasilimali Fedha, akili na mda wake. pia awe ni mwenye nia ya dhati ya kuwekeza, mwenye mtazamo na malengo ya mda mrefu.
iringa mko eneo ganiNAHITAJI BUSINESS PARTINER

Pesa kidogo sana kwa maono uliokuwa nayo na ulipofika nakusihi usiangalie pesa tu yapo mambo mengi yakuangalia ....experince,expertise ya huyo mtu ,terms na condition zake , percentage ya umiliki na ufanyaji maamuzi,malengo yake hasa particular kwenye business,value addition yake kwenye iyo biasharakuanzia 10mil mkuu
So ikiwa una kampuni, maana huyo mbia unayemhitaji, utamuunga vipi kwenye kampuni (biashara), utauza hisa au kampuni yenu na Yeye as individual or kama ana kampuni mtaanzisha uhusiano Wa kibiashara...kisheria? Akiwa na hizo 10m,...mtamuunga vipi kwenye kampuni yenu?NAHITAJI BUSINESS PARTINER
Hallow habari wana JamiiForums
Naitwa Mr Ryoba Wantora, mjasiliamali na mmliki wa kampuni ya Rioson Wood Products iliopo Iringa, inayohusika na uzalishaji na usambazaji wa MBAO na MILUNDA mikoani hapa Tanzania.
Kampuni hii ni ya kwamgu binafsi. na Tunamshukuru Mungu kwa sasa inajulika sehemu mbalbali kupitia matangazo yetu. na kuna baadhi ya makampuni yametiamini kufanya noa kazi kama vile:-
Hivyo upande wa soko Tunamshukuru Mungu tumetengeneza customer base imara na tutazidi kuji-brand zaidi.
- Tanzania Building Agency (TBA)
- Suma JKT
- Natinal Housing (NHC)
- China Railway Engineering and Construction (CRJE)
- Pamoja na wauzaji wa Mbao binafsi mikoani (Dodoma, Tanga, Dar, Morogoro, Mwanza, Arusha n. k.)
MALENGO YETU
1. Kua best seller wa Wood material (Timber, poles, na round wood/milunda ndani na nje ya Tanzania. kwani uhitaji hada soko la nje ni mkubwa (Nairobi, Zambia, Congo, Sudani n.k)
2. Kufungua Timber mikoani.
3. Kuwekeza katika mashamba ya miti. (1000 ekaries)
MAFANIKIO YETU MPAKA SASA
1. Tumefanikiwa kumuliki na kupanda mti ekari 70.
2. Kufungua branch (Iringa mjini na Dodoma)
3. Kupata tenda ya kusupply Mbao katika miladi ya ujenzi ya selikali.
4. Kujitangaza na kujulikana sehemu mbalimbali.
5. Pia tunamashine za kuzalishia mbao tatu.
NIA YANGU
Lengo na nia yangu nahitaji business partner alie seriously. Ambae atakua tiali kuwekeza rasilimali Fedha, akili na mda wake. pia awe ni mwenye nia ya dhati ya kuwekeza, mwenye mtazamo na malengo ya mda mrefu.
Hili hasa hata Mimi nimeuliza hapo juu, maana hajaweka wazi namna ambavyo huyo partner (mbia) ataingizwa kwenye hiyo kampuni. Nimeuliza pia...ingawa hajakibu.Kasajili kampuni yako dse au uza sehemu ya umiliki.
Je huko teyari kuuza sehemu ya umiliki?