Nahitaji Block mixer mashine

Nahitaji Block mixer mashine

cashbonnie

Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12
Reaction score
4
Mambo vp wadau. Msaada wa wapi ambapo naweza kupara machine ya kuchanganyia cement na mchanga kwa ajili ya kufyatulia matofali.
 
Niko Dodoma wazee
Mi pia nipo Dom.Usije ukaingia mkenge kununua ready made.Nitafute nikulengeshe Dar,kuna fundi mzuri sana wa Vibrator na mixer.Yeye hutumia plate za meli,huzipata bandarini.Akikutengenezea mashine unasahau maintenance.Mimi pia nina kiwanda,Ni Pm nitakuelekeza
 
Shukrani sana kaka. Ntakuja kwako nipate muongozo mzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom