KALITHERMAL
Member
- Aug 22, 2013
- 81
- 8
Inapatikana Brand New boxed with all accessories kwa laki nane na nusu (Tshs 850,000/) kama uko tayari nijulishe.Wadau,
nahitaji blackberry q 10 mpya ,original.sitaki mchina kabisa...au yeyote mwenye kujua duka zinazouzwa hapa dar es salaam.
Tafadhali msaada..
Mkuu,hiyo ni reasonable price for genuine handset. Najaribu kusaidia wabongo wanaohitaji vitu genuine kwa affordable cost. Hii si kitu fake,ni mali toka UK. Kama uko serious nitakupa kwa tsh 830,000/Toa offer yako.
Mkuu,hiyo ni reasonable price for genuine handset. Najaribu kusaidia wabongo wanaohitaji vitu genuine kwa affordable cost. Hii si kitu fake,ni mali toka UK. Kama uko serious nitakupa kwa tsh 830,000/
Kaka utahitaji brand new au used? Nitakufanyia kwa tsh 600000/ kwa bei ya offer.Niambie kaka na BB z10 inakwendaje? Mi nataka Z10
Niambie kaka na BB z10 inakwendaje? Mi nataka Z10
Wadau,
nahitaji blackberry q 10 mpya ,original.sitaki mchina kabisa...au yeyote mwenye kujua duka zinazouzwa hapa dar es salaam.
Tafadhali msaada..
inapatikana brand new boxed with all accessories kwa laki nane na nusu (tshs 850,000/) kama uko tayari nijulishe.
Haina shida mkuu,ukiwa tayari tutafutane.mkuu,
nakutafuta soon...
Tembelea kwenye muesium BB zisha sahaulika
mkuu hujaweka namba ya simu,nimeku pm kiiimya...haina shida mkuu,ukiwa tayari tutafutane.
Asante.
mkuu hujaweka namba ya simu,nimeku pm kiiimya...
Its urgent