Nahitaji binti wa kiislamu

Nahitaji binti wa kiislamu

Jayffa

Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
81
Reaction score
5
habari zenu, mimi nikijana wa kitanzania nina umri wa miaka 23. Nahitaji binti wa kiislam wa kuwa nae na mungu akijaalia nimuoe. Awe na miaka 20-23 awe asiwe kibonge lakini. Namba yangu 0768325632. Thank you
 
Ukikosa hapa jaribu kwenda mipakani mipakani na chuo cha Ifm kuna vingoli vya maana ila uwe young pedeshee kungoa ulingo
 
matako yenu mlocoment usenge
Mkuu kwa majibu hayo hata kama ulikuwa uko very serious,hakika huyo binti unayemuhitaji umeshampa mashaka na maswali tele ya kujiuliza juu ya uadilifu wako,kama mume mwenyewe mtarajiwa cyber jokes zinamtoa katika mstali ataweza kweli changamoto nzito za maisha ya mahusiano?Yaan hapo kwa waelewa wanakuwa wameshajua rangi yako halisi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom