ni kitabu cha MASHAHIDI WA YEHOVA HICHOKuna kitabu kikubwa cha njano, chenye maandishi,kitabu changu cha hadithi za biblia.kimenikuza mimi.
Hata sijui kinapatika wapi kwa sasa.
Niko Moro niliwahi kuziona mjini sh 15000 nzuri sanaWakuu habari humu
Nahitaji bibilia za watoto wadogo WA miaka 3-6 zenye picha kubwa na maadishi makubwa