Habari zenu wana jukwaa,
Mwenzenu nina shida, Betri ya Laptop yangu Dell Studio imekufa, hivyo naomba msaada wa mahali ninapoweza kuinunua, kwa sababu nimehangaika kwenye maduka ya Kariakoo nimekosa.
Nisaidieni ndugu yenu.
Ova
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.