Habari, nahitaji battery ya laptop aina ya HP Folio 9470M iliyo pichani. Nimejaribu kuulizia katika baadhi ya maduka kariakoo nimekosa, anayefahamu wapi naweza kuipata; au aliyenayo anaiuza apost hapa tafadhali
Habari, nahitaji battery ya laptop aina ya HP Folio 9470M iliyo pichani. Nimejaribu kuulizia katika baadhi ya maduka kariakoo nimekosa, anayefahamu wapi naweza kuipata; au aliyenayo anaiuza apost hapa tafadhali View attachment 959078