Nahitaji battery ya gari dry cell

BRO SANTANA

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
1,845
2,247
Wakuu kwema?

Nina gari yangu toyota runx natumia battery ya maji n40 sasa inanisumbua sana. Kila baada ya siku 4 lazima nipeleke chaji masaa 12.
Nimebadilisha maji lakini bado.

Naomba kujua bei ya dry cell.

n40 na je naweza tumia n50?
 
130,000 n40 nilinunua.. wastani kila mwaka gari lazima ubadilishe betri.... huwa kuna muda zinakufa
 
Tafuta Chloride Exide ya maji tumia alafu ulete majibu hapa. Hakikisha unaend kwa dealers wenyewe wa hizo battery.
 
Chukua dry cell mkuu hata mimi nimetoka kununua juzi tu nzr hatari
 
Kwema nimeona baadhi ya watu kutumia betri za sola hivi wataalamu kuna matatizo kwenye hili?
 
Back
Top Bottom