Nahitaji Balo la viatu vya mtumba

Nahitaji Balo la viatu vya mtumba

saimon amos

Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
16
Reaction score
7
Naomben mnisaidie balo la viatu vya mtumba grade A nakuendelea linapatikana kwa shingapi
Nipo dar es salaam maeneo ya tegeta
 
Uko Dar unashindwa kweli kwenda kuuliza kwa wanao yauza? Kiongozi mafanikio sio lele mama. Toka kakudanye taarumifa sahihi. Acha kila kitu kutegemea watu wakufanyie.
Nilijua uko Mtwara kumbe uko Dar?
Mtoa mada kaniambia Anaomba msamaha kaka
 
Uko Dar unashindwa kweli kwenda kuuliza kwa wanao yauza? Kiongozi mafanikio sio lele mama. Toka kakudanye taarumifa sahihi. Acha kila kitu kutegemea watu wakufanyie.
Nilijua uko Mtwara kumbe uko Dar?
Acha mambo ya kimama basi, kwani umelazimishwa uje hapa kutoa majibu?
Hapo ukute kabisa eti na wewe ni mwanaume na Pumbu zako mbili kabisa zinaning'inia.
Kama hauna majibu siku nyingine tuliza tundu.
 
Nenda ilala uko boya we upate na changamoto za hayo mabolo hahaa mabaloo, unaweza toa hela ukapata maviatu ya ajabu ajabu,nilikua na jamaa angu ye alibase katki viatu vya kike alikua analeta mabaloo mengi alafu viatu konkii ila nimepotezana nae maana ni kitambo kidogo,
 
😀😀😀😀 tunasafari ndefu sana, acha kitanda acha kiti acha wazazi wako tembea upate kujua bei za mizigo hiyo toka kwa wauzaji mbalimbali. dondoo hazitoshi mkuu
 
Mashukuruni kwa mawazo yenu aimanishi Kaka dar ndo kujua Kila kitu Kuna watu Wana kaa dar ubungo awapajui niliuliza kwa maana pindi napotaka kutoka kufwata mzigo nijue natoka na kiasi gan

Ila asanten kwa mawazo
Sure much,kuna kukaa dar na kuna kukalishwa dar
 
Uko Dar unashindwa kweli kwenda kuuliza kwa wanao yauza? Kiongozi mafanikio sio lele mama. Toka kakudanye taarumifa sahihi. Acha kila kitu kutegemea watu wakufanyie.
Nilijua uko Mtwara kumbe uko Dar?
Slope

Ova
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom