Nahitaji bajaj tvs haraka sana namba iwe E ipo 5M mfuko wa shati.

Nahitaji bajaj tvs haraka sana namba iwe E ipo 5M mfuko wa shati.

Ipo Bajaj namba E ya mbele ila Haina kadi, ntakuuzia kwa milioni 2 tu, kwenye siti ya dereva Ina damdam sio sana.
 
Kwa iyo bajeti utapata namba D zilizo nyooka, mfano mimi apa niko na namba D ya mbele TVS namba DT.... naitoa kwa 5mil. haina kipengele.....
 
Back
Top Bottom