Nahitaji AV cable ya xbox 360 Fast.

NickFatz

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
224
Reaction score
8
Kama unayo cable hii nishtue kwenye nomb +255 756 412 337 tufanye biashara!

 
kama bado unahitaji nicheki maana mi natumia hdmi cable



wap hapo? pana spares zingine za xbox? nahitaji battery na controller

Roundabout ya bibi titi
 
unakiasi gani me nikuletee by next week faster, pia nauza xbox 360 complete wwith kinetic na PS3 Complete, pia nitakupa headset free
.!
 
Hyo xbox bei gani?

mkuu, still hujapata tuu...
nilijua ushapata?? unatafuta zile za kinetic cjui..blacj ones with HDD??
Mcheki uyu mchina kama anauza yake0713 211 838

ukishindwa bei nletee mie laki 3.5 nikupe mzigo wangu,,kama una s3 au iphone 4s tubadilishane:whistle:
 
Xbox ni ile yenye kinetic, kuna kale kadude unaweka juu ya vitu kanakuwa kama camera , ambacho unakiset badala ya kutumia pad unaweza ukatumia viungo vyako vya mwili kama mikono kuendesha gari na kucheza game za tenis n.k ni mambo ya digital haya mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…