Mkuu humu jukwaani biashara inabidi ujiongeze,kama wewe ni muuzaji wa hizo mashine weka details zakutosha humu mf:
-Size na Bei zake
-ufanisi
-Auto au manual
Hii inaweza kukupa wateja zaidi kuliko kutuma namba uakaishia hapo,sio njia nzur kuvutia wateja