Nahitaji Asali Toka kwa wafugaji

engmtolera

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
5,149
Reaction score
1,441
Ndugu wana JF
Habari za majukumu, Samahani, nahitaji Asali toka kwa wafugaji, asali hiyo ikidhi haya yafuatayo:-
1. Isiwe imechemshwa.
2.Iwe na uwezo wa kupita test zitakazofanywa na TFDA na TBS
3. Nyuki wawe ni wa porini na ni wale wakubwa
4.Mfugaji au wafugaji wawe na uwezo wa kusupply angarau lita 500 kwa kila mwezi
Kwa mwenye uwezo wa kusupply asali hiyo tuwasiliane kupitia email hii engmtoleraibrahim@gmail.com
 
UPO WAPI MKUU UNIPE DILI?
 
hivi ni wafugaji au wakulima?...nje ya mada lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…