Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,234
- 1,501
Nahitaji archtecture wa kunichorea ramani ya nyumba. Kiwanja kipo DSM. Ni nyumba ya vyumba v3 na facilities nyingine kama kawaida. Tuonane inbox kwa maelezo zaidi.
0787459850, mcheki huyu
Nahitaji archtecture wa kunichorea ramani ya nyumba. Kiwanja kipo DSM. Ni nyumba ya vyumba v3 na facilities nyingine kama kawaida. Tuonane inbox kwa maelezo zaidi.
Nadhani unahitaji architect.
Asante sana kaka. Kazi nzuri. Nitakutafuta mkuu.Kwa ramani na landscape design 0787459850
Hii ni ya vyumba vitatu na nyinginezo zipo
Karibu!
Nyumba size gani?tupe spec tukupe bei
Mcheki mwana JF Jehry hapo juu.Nahitaji archtecture wa kunichorea ramani ya nyumba. Kiwanja kipo DSM. Ni nyumba ya vyumba v3 na facilities nyingine kama kawaida. Tuonane inbox kwa maelezo zaidi.
Mcheki mwana JF Jehry hapo juu.
Yupo Vizuri sana kwa hilo,maana Architect wengine ambao ni Officials wanabei kubwa utafikiria wanajenhga Ikulu,usishangae akaja site na Suti na Tai kwa joto la Dar ili akuchanganye,maana wanapiga Percent ya gharama ya Ujenzi.
But Jehry ni mwanafunzi,so utapata bei ubwete,mie ninayo moja of the same kutoka kwake in full ameni quote bei rahisi sana.Najivuta ili by mwakani tuweke mambo sawa.
Sure,wengi ni wasanii yaani wao pesa kila kitu.Asante sana kaka. Jamaa kanivuta whatsapp na hivisasa tuna-chat huku akinishushia sampuli za kufa mtu. Jamaa kajipanga na pia ana interprenualship mind kitu ambacho binafsi nakipenda sana. Wasomi wetu wengi wana bidhaa (skills) lakini hawajui kuuza bidhaa zao. Kuna mmoja kaniandikia "lete specs tukupe bei". Sasa jamani, mchuuzi kama huyu bidhaa yake ikidoda nae anaenda kwa mganga.!!! Wengi wao wanaishia kuajiriwa na kutajirisha wengine huku wao wakifa masikini. Tanganyika safari bado tunayo kaka.
[emoji4] [emoji4] bila kusahau moka ya nguvuMcheki mwana JF Jehry hapo juu.