Mswaki wa chuma
Senior Member
- Oct 31, 2016
- 121
- 95
App gani we co mkweli hyo unayopata azamMsaada;Nimehangaika kutafuta app ambayo inalive tv za kibongo maana nyingi nazozipata zinaonyesha channels za nje tu,ipo application niliwahi kuitumia ina Azam1, Azam2 na local channels nyingine ila nimeisahau jina hivyo naomba wanaojua application zenye channel za bongo anisaidie
Ni kweli Kuna app nilikua natumia ina azam 1 na Azam2App gani we co mkweli hyo unayopata azam
Haina jina ?Ni kweli Kuna app nilikua natumia ina azam 1 na Azam2
Online tvHaina jina ?
Nimeisahau ndio maana nikaulizia ili kama Kuna mtu analishaitumia na anaifahamu anipe link yakeHaina jina ?
Post zipi? Naomba uniwekee hapa nizifanyie kaziBc pia chek kuna post kbao azam yupo ila cjaona chanells za bongo zaid ya azam
TNenda hapo, Zipo channel kama TBC, Channel Ten, Azam 1,2 ,Azam Sports Hd, Tv Imaan, Azam Hd Nk Natambulisha Live Online Tv kwenuMsaada;Nimehangaika kutafuta app ambayo inalive tv za kibongo maana nyingi nazozipata zinaonyesha channels za nje tu,ipo application niliwahi kuitumia ina Azam1, Azam2 na local channels nyingine ila nimeisahau jina hivyo naomba wanaojua application zenye channel za bongo anisaidie