Nahitaji Apple cider vinagar, inauzwa wapi?

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,505
Reaction score
8,256
Hii bidhaa inauzwa wapi? Pharmacy, sokoni ama supermarket?

Msaada nahitaji kuinunua
 
Siki ya tufaa . nenda sokoni kkoo. Au huu mtaa wenye Maduka mengi ya bidhaa za nyumbani
 
Tengeneza mwenyewe Mkuu its easy, simple and cheaper..., labda tu useme inachukua muda wa wiki kadhaa
 
Tengeneza mwenyewe Mkuu its easy, simple and cheaper..., labda tu useme inachukua muda wa wiki kadhaa

is not real simple, upate apples mbivu uzi-ferment upate alcohol halafu ui-oxidize ndio upate vinegar!
 
is not real simple, upate apples mbivu uzi-ferment upate alcohol halafu ui-oxidize ndio upate vinegar!
its very easy and cheaper mimi nimetengeneza unachukua kama apple tano unazikata kata maji unaweka kama gallon moja na unaweka sukari kama robo kilo unaweka kwenye kindoo / gallon transparent ili uone kinachoendelea alafu unachukia kitambaa unakifunga kwa juu ya ndoo ili uchafu usiingie basi unaweka kwenye a dry cool place kama kabati unangoja kila siku unakoroga baada ya wiki kama tatu au nne tayari una vinegar ingawa the more you wait the stronger it becomes..

Hapo una uhakika hakuna ma-kemikali na its home made you know what you eat..
 
Mkuu hii kitu ni mbadala wa viagra, wee acha tu!

Mkuu KeyserSoze hapo juu anayosema Shelisheli ni ya kweli?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu KeyserSoze hapo juu anayosema Shelisheli ni ya kweli?
Nadhani hapo kuna kuuziana mbuzi kwenye gunia... (labda kwa wafugaji wa Sungura wanaamini kwamba hii inaongeza fertility kwa Sungura)..... ingawa unajua ili uweze kuwa sexually active inabidi uwe kwenye afya nzuri na sababu hii ni tonic inaweza kupelekea uwe na afya bora ingawa kusema hii ni aphrodisiac nadhani ni kuongeza chumvi

Mkuu sukari ni lazima? Make nataka kutibu ugonjwa ambao sharti nisitumie sukari,
Na hivi vitu vinapatikana wapi? Tea tree oil, oregano oil, olive oil, clove oil, coconut oil
 
Mkuu sukari ni lazima? Make nataka kutibu ugonjwa ambao sharti nisitumie sukari,
Na hivi vitu vinapatikana wapi? Tea tree oil, oregano oil, olive oil, clove oil, coconut oil
Unajua kwenye fermentation bacteria wanakula hio sukari na kuibadilisha kuwa alcohol na mwisho wa siku kwenye hii vinegar inabadilishwa inakuwa acid.., kwahio utaona kwamba ukija kutumia hii vinegar sukari yote inakuwa imeshaondoka na haipo tena ndio maana kutengeneza hii unahitaji huo muda wote ili haya yote yatendeke..

olive, clove (karafuu) na coconut oil (mafuta ya nazi) hivi vitakuwa vinapatikana tu sababu kwa Tanzania ni vingi..

jaribu kutembelea maduka ya viungo.. pia hata hio oregano na Tea Tree vyote hivi wauza viungo watakuwa wanajua zaidi
 
Shukrani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…