Habari wanajamii
Naomba kujuzwa bei ya kioo cha android screen lcd inch 10, kwn inaonekana kama touch imekufa. Hii ni kutokana na kutofanya chochote ukikigusa, ila ukitumia mouse, ipo vema.
Naomba
1. Kujua bei yake
2. Mahali ntapata
3. Gharama za ufundi