netti mimi
Senior Member
- Oct 10, 2016
- 147
- 109
Nipo darPole sana Teacher. Naomba kujua upo mkoa gani?
Ungekuwa Arusha ningekupa connection,japo kazi ya kawaidaNipo dar
Nmeandik popote nafany naninakuj naomb plzUngekuwa Arusha ningekupa connection,japo kazi ya kawaida
kwa ushauri wangu anzisha kituo chako, fundisha masomo hayaJamani habari zenu ...
Wapendwa bado sijapata kazi nisaidieni kazi yoyote nilee familia jamani nawaombeni plz plz msinitukane naombeni msaada tafadhali.
Mimi ni mwalimu masomo ya arts kiswahili na history ...hata secretary nafanya hata umatroni kazi yoyote mkoa wowote nisaidieni jamani uwiii.