Nahitaji Air conditioner

Ya aina za Dual inverter, na vizuri zaidi nikipata makabila ya L.G / Panasonic

Wapi naweza kupata na Bei zake zinatembeaje kwa wenye uelewa.
Kariakoo
 
Kuna portable AC mkuu used, ukihitaji nicheki
 
Kama ukihitaji za kukodi kuna watu wanaitwa Baridi Baridi huwa wanakuja kukufungia na unakuwa unanunua kifurushi kama vile unit za umeme .Hii inasaidia sana hasa sehemu za mijini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…