Nahitaji accounting and finance software

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
620
Habari wana tech,
nahitaji software tajwa hapo juu kwa ajili ya kufanya rekodi biashara yangu ambayo ni biashara ya kawaida tu.
kwa yeyote mwenye kuijua anaweza nisaidia jinsi ya kuipata.
 
Tumia Busy Accounting Software kwa Biashara Ndogo na za Kati.
Ni Software rahisi sana kutumia (Hauitaji kusoma Accounts wala Computer).
Inajumuisha mambo yote ya Accounts pamoja na Inventory, Payroll. Pia ina-support Multi-Branch, Multi-Currency. na mambo mengine mengi sana kama Unlimited Companies, Web Base Reporting etc.
Kwa maelezo zaidi, Google BUSY ACCOUNTING SOFTWARE, download a demo copy. Ukiipenda ni PM au tuwasiliane kwa namba 0659890000.
Bei ni kati ya USD 363 hadi USD 2,320 kutegemeana na aina au toleo unalotaka. Bei hizo zimejumuisha Implementation, Training na Support ya Mwaka Mzima. Unalipa mara moja tu na utaitumia milele.
Karibuni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…