Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 455
- 1,731
Tatizo ulimwagia maniiiBila salaaam
Niende moja kwa moja kwenye mada
Mwaka jana nilikua na binti flani katika mahusiano. Tulidumu kwa miezi 8 nikampiga chini baada ya kuona ananiletea mapenzi ya kifilipino
Binti alikua ananipa sana papuchi kila nlipomhitaji alikua anakuja. Ila sasa kutokana na kumaliza kwake degree akaanza kuniletea yalee mapenzi ya kichuo chuo yani ukorea mwingi.
Sasa mimi suala la kubembeleza bembeleza kwangu siliwezi nikampiga chini.
Sasa tangu nimempiga chini yule manzi kila ninapogusa napigwa nyundo nzito hadi sasa nimekua single na kununua malaya kwa kweli mi siwezi.
Kwa situation ninayokutana nayo baada ya kuachana na yule demu naona kabisa kaniachia gundu maana sio kwa kukataliwa huku na mademu.
NB: Hela ninazo ila mimi sio boya kuanza kuhonga ovyo ovyo ili demu anikubalie. Najua kuna mijitu hapa itakuja kusema tafuta hela. Hela ninazo ila sio za kugawa gawa ovyo kwa wanawake!!! .
Nifanyaje
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
CompromiseSasa option zote hutaki, unataka tukushauri nini?
Tafuta hela, unasema hela unazo
Honga, unasema huhongi
Nunua malaya, unasema huwezi nunua malaya
Basi Mrudie huyo x wako, au fanya ibada, aliye wako atakuja kwa wakati muafaka, kinyume na hapo, endelea kuenzi CHAPUTA, jichukulie sheria mkononi.
Majibu ya mtoa mada kwa mademu anaowatongoza ni haya kwenye picha chini.. Sasa mtu kama huyu unamsaidiaje? Tumuache tu na akili zake!Sasa option zote hutaki, unataka tukushauri nini?
Tafuta hela, unasema hela unazo
Honga, unasema huhongi
Nunua malaya, unasema huwezi nunua malaya
Basi Mrudie huyo x wako, au fanya ibada, aliye wako atakuja kwa wakati muafaka, kinyume na hapo, endelea kuenzi CHAPUTA, jichukulie sheria mkononi.
Anza kugawa gawa hovyo hela kwa wanawakeBila salaaam
Niende moja kwa moja kwenye mada
Mwaka jana nilikua na binti flani katika mahusiano. Tulidumu kwa miezi 8 nikampiga chini baada ya kuona ananiletea mapenzi ya kifilipino
Binti alikua ananipa sana papuchi kila nlipomhitaji alikua anakuja. Ila sasa kutokana na kumaliza kwake degree akaanza kuniletea yalee mapenzi ya kichuo chuo yani ukorea mwingi.
Sasa mimi suala la kubembeleza bembeleza kwangu siliwezi nikampiga chini.
Sasa tangu nimempiga chini yule manzi kila ninapogusa napigwa nyundo nzito hadi sasa nimekua single na kununua malaya kwa kweli mi siwezi.
Kwa situation ninayokutana nayo baada ya kuachana na yule demu naona kabisa kaniachia gundu maana sio kwa kukataliwa huku na mademu.
NB: Hela ninazo ila mimi sio boya kuanza kuhonga ovyo ovyo ili demu anikubalie. Najua kuna mijitu hapa itakuja kusema tafuta hela. Hela ninazo ila sio za kugawa gawa ovyo kwa wanawake!!! .
Nifanyaje
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Hatua ya kwanza achana na iyo dhana kuwa amekuachia gundu. Ilo linakufanya ufeli hata kabla hujaenda kutongoza. Saivi jishawishi kwamba 'nilifanya uamuzi mzuri, na mademu wananitaka', anza kuongea na mademu barabarani, mtaani au mtandaoni.Bila salaaam
Niende moja kwa moja kwenye mada
Mwaka jana nilikua na binti flani katika mahusiano. Tulidumu kwa miezi 8 nikampiga chini baada ya kuona ananiletea mapenzi ya kifilipino
Binti alikua ananipa sana papuchi kila nlipomhitaji alikua anakuja. Ila sasa kutokana na kumaliza kwake degree akaanza kuniletea yalee mapenzi ya kichuo chuo yani ukorea mwingi.
Sasa mimi suala la kubembeleza bembeleza kwangu siliwezi nikampiga chini.
Sasa tangu nimempiga chini yule manzi kila ninapogusa napigwa nyundo nzito hadi sasa nimekua single na kununua malaya kwa kweli mi siwezi.
Kwa situation ninayokutana nayo baada ya kuachana na yule demu naona kabisa kaniachia gundu maana sio kwa kukataliwa huku na mademu.
NB: Hela ninazo ila mimi sio boya kuanza kuhonga ovyo ovyo ili demu anikubalie. Najua kuna mijitu hapa itakuja kusema tafuta hela. Hela ninazo ila sio za kugawa gawa ovyo kwa wanawake!!! .
Nifanyaje
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Kote nmekuelewa, ila hapaHatua ya kwanza achana na iyo dhana kuwa amekuachia gundu. Ilo linakufanya ufeli hata kabla hujaenda kutongoza. Saivi jishawishi kwamba 'nilifanya uamuzi mzuri, na mademu wananitaka', anza kuongea na mademu barabarani, mtaani au mtandaoni.
.
Anza kuwa social na watu, social circle yako pia inaweza kukuletea demu kirahisi.
.
Punguza kasi ya kutaka mahusiano haraka, mwanamke unayemtokea mpe muda akuelewe na akuamini. Alafu kazi yako saivi iwe ni kutengeneza date na demu anayekuelewa, kwenye date mpe nafasi aongee we muulize maswali, usijitambe sana, mkaribishe kwako kuangalia muvi au kufanya chochote, kisha nenda nae taratibu usitake kuona chupi yake mapema. Akiondoka mpe muda akuwaze, usimsumbue kutaka mahusiano mwache mpaka awe tayari atakuambia ye mwenyewe. Endelea kubadili fikra zako mana ndizo zilizokufunga wala sio gundu la X.
.
MUHIMU: Usiwe na hamu ya mahusiano zaidi ya mwanamke. Jipe muda man. Usichukue ushauri wa mahusiano kwa wanawake. Pesa sio suluhisho, akili yako ndio suluhisho.
Hela huna wewe. Hutaki kuhonga kwasbb una hela za mawazo. Tafuta hela bababng! (In chaga's voice): Hela ninazo ila mimi sio boya kuanza kuhonga ovyo ovyo ili demu anikubalie. Najua kuna mijitu hapa itakuja kusema tafuta hela. Hela ninazo ila sio za kugawa gawa ovyo kwa wanawake!!! .
Tafuta hela dogo!! mwanamke hana uthubutu wa kumkataa mwanaume mwenye hela!!Bila salaaam