Nahisi yule X wangu kaniachia gundu

Nahisi yule X wangu kaniachia gundu

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2019
Posts
455
Reaction score
1,729
Bila salaaam

Niende moja kwa moja kwenye mada

Mwaka jana nilikua na binti flani katika mahusiano. Tulidumu kwa miezi 8 nikampiga chini baada ya kuona ananiletea mapenzi ya kifilipino

Binti alikua ananipa sana papuchi kila nlipomhitaji alikua anakuja. Ila sasa kutokana na kumaliza kwake degree akaanza kuniletea yalee mapenzi ya kichuo chuo yani ukorea mwingi.

Sasa mimi suala la kubembeleza bembeleza kwangu siliwezi nikampiga chini.

Sasa tangu nimempiga chini yule manzi kila ninapogusa napigwa nyundo nzito hadi sasa nimekua single na kununua malaya kwa kweli mi siwezi.

Kwa situation ninayokutana nayo baada ya kuachana na yule demu naona kabisa kaniachia gundu maana sio kwa kukataliwa huku na mademu.

NB: Hela ninazo ila mimi sio boya kuanza kuhonga ovyo ovyo ili demu anikubalie. Najua kuna mijitu hapa itakuja kusema tafuta hela. Hela ninazo ila sio za kugawa gawa ovyo kwa wanawake!!! .

Nifanyaje

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Sasa option zote hutaki, unataka tukushauri nini?
Tafuta hela, unasema hela unazo
Honga, unasema huhongi
Nunua malaya, unasema huwezi nunua malaya

Basi Mrudie huyo x wako, au fanya ibada, aliye wako atakuja kwa wakati muafaka, kinyume na hapo, endelea kuenzi CHAPUTA, jichukulie sheria mkononi.
 
Tatizo ulimwagia maniii
Hizo ndo amezitumia kukulogea kaa chonjo mkuu 🤣🤣 y
 
Sasa option zote hutaki, unataka tukushauri nini?
Tafuta hela, unasema hela unazo
Honga, unasema huhongi
Nunua malaya, unasema huwezi nunua malaya

Basi Mrudie huyo x wako, au fanya ibada, aliye wako atakuja kwa wakati muafaka, kinyume na hapo, endelea kuenzi CHAPUTA, jichukulie sheria mkononi.
Compromise
 
Unasema unayopesa si ndio
Embu tafuta pesa mkuu hivi viumbe vinanusa pesa na pia funguka acha ubahili
Ukiweza hapo basi
Vaa vizuri nukia kwa gharama yeyote ikifaa tembea na miguu minne, alafu usiwazingatie sana maana ukifika hiyo stage wanajileta wenye.
Cha mwisho ndugu acha kupoteza mate na nguvu za taya kwa mwanamke, wacha pesa iongee.
 
Sasa option zote hutaki, unataka tukushauri nini?
Tafuta hela, unasema hela unazo
Honga, unasema huhongi
Nunua malaya, unasema huwezi nunua malaya

Basi Mrudie huyo x wako, au fanya ibada, aliye wako atakuja kwa wakati muafaka, kinyume na hapo, endelea kuenzi CHAPUTA, jichukulie sheria mkononi.
Majibu ya mtoa mada kwa mademu anaowatongoza ni haya kwenye picha chini.. Sasa mtu kama huyu unamsaidiaje? Tumuache tu na akili zake!
255765858933_status_c12ac29472f34c8c918933dd6a59c479.jpg
 
Bila salaaam

Niende moja kwa moja kwenye mada

Mwaka jana nilikua na binti flani katika mahusiano. Tulidumu kwa miezi 8 nikampiga chini baada ya kuona ananiletea mapenzi ya kifilipino

Binti alikua ananipa sana papuchi kila nlipomhitaji alikua anakuja. Ila sasa kutokana na kumaliza kwake degree akaanza kuniletea yalee mapenzi ya kichuo chuo yani ukorea mwingi.

Sasa mimi suala la kubembeleza bembeleza kwangu siliwezi nikampiga chini.

Sasa tangu nimempiga chini yule manzi kila ninapogusa napigwa nyundo nzito hadi sasa nimekua single na kununua malaya kwa kweli mi siwezi.

Kwa situation ninayokutana nayo baada ya kuachana na yule demu naona kabisa kaniachia gundu maana sio kwa kukataliwa huku na mademu.

NB: Hela ninazo ila mimi sio boya kuanza kuhonga ovyo ovyo ili demu anikubalie. Najua kuna mijitu hapa itakuja kusema tafuta hela. Hela ninazo ila sio za kugawa gawa ovyo kwa wanawake!!! .

Nifanyaje

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Anza kugawa gawa hovyo hela kwa wanawake
 
Hatua ya kwanza achana na iyo dhana kuwa amekuachia gundu. Ilo linakufanya ufeli hata kabla hujaenda kutongoza. Saivi jishawishi kwamba 'nilifanya uamuzi mzuri, na mademu wananitaka', anza kuongea na mademu barabarani, mtaani au mtandaoni.
.
Anza kuwa social na watu, social circle yako pia inaweza kukuletea demu kirahisi.
.
Punguza kasi ya kutaka mahusiano haraka, mwanamke unayemtokea mpe muda akuelewe na akuamini. Alafu kazi yako saivi iwe ni kutengeneza date na demu anayekuelewa, kwenye date mpe nafasi aongee we muulize maswali, usijitambe sana, mkaribishe kwako kuangalia muvi au kufanya chochote, kisha nenda nae taratibu usitake kuona chupi yake mapema. Akiondoka mpe muda akuwaze, usimsumbue kutaka mahusiano mwache mpaka awe tayari atakuambia ye mwenyewe. Endelea kubadili fikra zako mana ndizo zilizokufunga wala sio gundu la X.
.
MUHIMU: Usiwe na hamu ya mahusiano zaidi ya mwanamke. Jipe muda man. Usichukue ushauri wa mahusiano kwa wanawake. Pesa sio suluhisho, akili yako ndio suluhisho.
 
NB: #Hela ninazo ila mimi sio boya kuanza kuhonga ovyo ovyo ili demu anikubalie. Najua kuna mijitu hapa itakuja kusema tafuta hela. Hela ninazo ila sio za kugawa gawa ovyo kwa wanawake!!!#

Hatari sana
 
Hatua ya kwanza achana na iyo dhana kuwa amekuachia gundu. Ilo linakufanya ufeli hata kabla hujaenda kutongoza. Saivi jishawishi kwamba 'nilifanya uamuzi mzuri, na mademu wananitaka', anza kuongea na mademu barabarani, mtaani au mtandaoni.
.
Anza kuwa social na watu, social circle yako pia inaweza kukuletea demu kirahisi.
.
Punguza kasi ya kutaka mahusiano haraka, mwanamke unayemtokea mpe muda akuelewe na akuamini. Alafu kazi yako saivi iwe ni kutengeneza date na demu anayekuelewa, kwenye date mpe nafasi aongee we muulize maswali, usijitambe sana, mkaribishe kwako kuangalia muvi au kufanya chochote, kisha nenda nae taratibu usitake kuona chupi yake mapema. Akiondoka mpe muda akuwaze, usimsumbue kutaka mahusiano mwache mpaka awe tayari atakuambia ye mwenyewe. Endelea kubadili fikra zako mana ndizo zilizokufunga wala sio gundu la X.
.
MUHIMU: Usiwe na hamu ya mahusiano zaidi ya mwanamke. Jipe muda man. Usichukue ushauri wa mahusiano kwa wanawake. Pesa sio suluhisho, akili yako ndio suluhisho.
Kote nmekuelewa, ila hapa

"Pesa sio suluhisho, akili yako ndio suluhisho" sjaelewa!!
 
: Hela ninazo ila mimi sio boya kuanza kuhonga ovyo ovyo ili demu anikubalie. Najua kuna mijitu hapa itakuja kusema tafuta hela. Hela ninazo ila sio za kugawa gawa ovyo kwa wanawake!!! .
Hela huna wewe. Hutaki kuhonga kwasbb una hela za mawazo. Tafuta hela bababng! (In chaga's voice)
 
Bila salaaam

Niende moja kwa moja kwenye mada

Mwaka jana nilikua na binti flani katika mahusiano. Tulidumu kwa miezi 8 nikampiga chini baada ya kuona ananiletea mapenzi ya kifilipino

Binti alikua ananipa sana papuchi kila nlipomhitaji alikua anakuja. Ila sasa kutokana na kumaliza kwake degree akaanza kuniletea yalee mapenzi ya kichuo chuo yani ukorea mwingi.

Sasa mimi suala la kubembeleza bembeleza kwangu siliwezi nikampiga chini.

Sasa tangu nimempiga chini yule manzi kila ninapogusa napigwa nyundo nzito hadi sasa nimekua single na kununua malaya kwa kweli mi siwezi.

Kwa situation ninayokutana nayo baada ya kuachana na yule demu naona kabisa kaniachia gundu maana sio kwa kukataliwa huku na mademu.

NB: Hela ninazo ila mimi sio boya kuanza kuhonga ovyo ovyo ili demu anikubalie. Najua kuna mijitu hapa itakuja kusema tafuta hela. Hela ninazo ila sio za kugawa gawa ovyo kwa wanawake!!! .

Nifanyaje

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Tafuta hela dogo!! mwanamke hana uthubutu wa kumkataa mwanaume mwenye hela!!
 
Back
Top Bottom