kasuagatz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2021
- 288
- 358
Habari za jumamosi wana JF, kisa changu kipo hivi mtani kwangu ninapo ishi kuna familia ambao ni majirani zangu.
Sasa hawa majirani kuna wadada ambao ni dada mtu ma mdogo mtu wote wanalipa tu ila niliamua ku focus kwa mdogo mtu.
Sasa huyu mdogo mtu nilimfungukia ya moyoni akanikataa nimesha weka mpaka mitego kadhaa anakula tu visenti vyangu ila naishia kuhudumia tu bila kupewa hata kisi. Ananinyima papuchi ila wengine wanapewa bila hata kutoa chochote nina ushahidi kuna wana wanajilia ila mimi nahisi sina bahati.
Nimejaribu pia kurudisha majeshi kwa dada mtu naye anaishia kunipiga vizinga tu na utamu anaishia kunipa ahadi tu nipo njia panda nishaurini yawezekana sina bahati au shida nini.