Naona unataka kuanzisha tatizo sasa kwa kutafuta vitu ambavyo havipo, amekuambia safi lakini wewe hujiamini matokeo yake utadevelop tatizo na kuwa MROMBO shauri yako, usisikilize story za vijiweni kwani kiasili kila mwanaume mbele ya watu hasa vijana hujifanya fundi na kukupa STANDARD za juu za kugegedana ambazo ni wachache wanazifikia.
Wewe jiulize mbona mambo mengi binadamu tunatofautiana ajabu hatushangai (mfano mwingine anakimbia sana, mwingine anakula sana, mwingine anaongea sana, mwingine anabeba mizigo mizito), lakini likija kwenye issue ya kugegedana watu mnataka muwe sawa na unaona kwanini sipigi mfululizo saa zima kama flani kitu ambacho kila mtu ana mwili wake (USITENGENEZE TATIZO LINGINE KWA NAMNA HII UNAWEZA UKASHANGAA UKAANZA KUSHUKA KIWANGO TARATIBU)