Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 657
NakaziaKwa nn unautesa moyo wako?
Mwambie ukweli tuu ili afanye mambo mengine.
Mara nyingi sanaulishamgegeda?
Asante kwa ushauriKama ulimsamehe ila bado ukikumbuka dharau alizokufanyia bado unaumia sio suala dogo...binadamu huwa tunasamehe kweli ila ile kumbukumbu ya tukio mara nyingi huwa inabaki
Umekiri kuwa mapenzi yameisha kwake...ninavyojua mie mtu akishafikia hatua ya kukosa mapenzi kwa mpenzi wake means hakuna tena mapenzi
Mie nakushauri uachane nae japo sio jambo zuri kushauri hivyo ila ndio solution iliyopo kwa upande wako...huruma lazima iwepo kwasababu ni mtu uliyedumu nae kwa muda mrefu
Weka huruma pembeni,muache mapema ili yasifike mbali zaidi akaja kukulaumu badae umempotezea muda wake
Kuacha/kuachwa ni kawaida sana katika mahusiano
ndo manaMara nyingi sana
Fafanua kidogo hiyo falsafa ya kupoteza mvutoHujajua maana ya kusamehe na inaonekana ameanza kupoteza mvuto kutokana na umri. Fanya unaloona linafaa kwa umri wako, ungekuwa mtu mzima kama sisi ungekuwa usingefika huku.
Namaanisha kuwa kwasasa hata ukiwa nae hisia zinakuwa low au normal tofauti na mwanzo. Vile vile mwanamke akikomaa upo nae kwenye ndoa ni rahisi kumvumilia kuliko anaekomaa mkiwa separate. Hivyo hakuvutii kiivyo na ukichanganya na vijitabia fulani ndo unakata stim kabisa.Fafanua kidogo hiyo falsafa ya kupoteza mvuto
Fanya kile moyo wako unataka jipe amani ya moyo kwanza kama humpendi mwacheNi binti ambae nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa.Huyu binti nilimpata kipindi anamalizia masomo yake ya chuo kikuu na wakati naingia nae kwenye mahusiano ndio alikua anaingia mwaka wa mwisho wa mahusiano.
Nakumbuka kabla hajamaliza chuo kuna siku tulipishana kidogo kiswahili lakini tuliyaongea yakaisha tukaendelea na mapenzi yetu kama kawaida ingawa ni moja ya ugomvi ambao kila nikikumbuka alivyokua akinitreat najikuta namchukia sana ingawa simwambii kwamba kumbukumbu ya ule ugomvi wetu mpaka leo haijafutika kichwani mwangu.
Kuna wakati nawaza kubadilisha laini yangu ya simu ili tu asinipate hewani kwa kipindi hata cha miezi miwili lakini huruma inanijia kwamba atahisi huenda nimeona amemaliza chuo na kuwa mzigo kwangu ndio maana nataka kumuacha.
Nikikumbuka alivyokua akiniletea dharau wakati namtafuta ili tuyaongee kipindi kile tumegombana nashikwa na hasira zaidi ingawa yeye mwenyewe simwambii.
Nifanyeje ili niondokane na hali hii ?