Nahisi nimeyakanyaga

kasuagatz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2021
Posts
288
Reaction score
360
Habari za wikendi wana jmm,

Nimekuja naombeni ushauri wenu.

Ni hivi wiki iliyopita kuna demu nimetafuna kimasihara mnamo Jumatatu na niliuza mechi sikutafuna na ndom.

Sasa leo nimeamka nikikojoa naumia sana na nakojoa kama spem fulani hivi, nawaza hii naona kama siyo gono, maana gono mbona huwa mapema tu inaonekana?!

Je, itakuwa nini, naombeni ushauri?

Uandishi wangu hauko poa nisameheni tu.
 
Kapime gono mzee baba na hapo hapo wanakuambia ukapime ukimwi leo Mungu akusaidie.. Unaweza pambana na magonjwa mawili muda huu
 
Wakati mwingine Magonjwa ya Zinaa si lazima yajitokeze mapema kama ulivyoozoea Mkuu.... Umeyakanyaga kweli mzee
.... #NENDA DUKA LA DAWA UKASEME UKWELI WAKO UPEWE DAWA CHAP....
Mwezi wa mwisho huu tutakupoteza Fala wewe
 
Wataalam,
Hivi hamnaga kipimo Cha gono kile Cha chap chap Kama kile Cha Ukimwi wakuu?

Maana wengi wetu tunauza mechi Sana baada ya kupima Ukimwi tu na kukuta mambo Ni negative?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…