Nahisi nimerogwa


Achauogga dogo komaa kilasiku sio j2 nenda church uombe
 
kama mali zako ulipata kutoka mungu,nina maana haujatumia ushirikina katika utafutaji wako,basi amini katika maisha kuna kupanda na kushuka.Amini nakuambia kama unamuamini Mungu,basi utapanda juu zaidi,sisi wakristo tunaamini hivyo,na tunapata imani kupti kwa Ayubu.
 

uuuuwiiiii thnkyuuu mtumish japokingeletha kigumuu hvohvooo tuuuu lazma afungukeeee
 
Huyu jamaa anajua alichofanya.Mtamshauri hadi mdate hapa hana hata moja.
Kwanza mjiulize miaka 17 je shule hakusoma zaidi ya kujua kuandika kwa kupindua tu?
Hii inaonekana hapa kuna mambo ya kujiuliza jinsi alivyopata mali.Maana asije kuwa amedhulumu pesa za urithi,wizi,ujambazi nk. at 17 yrs of age halafu huna mshauri kwenye Familia hapa kuna jambo.

Kama pesa sio halali basi jua kwamba mwisho wako ni wa miujiza kama hii.Hata uombewe na nabii ashuke lakini safari ndio baibai tena.
We angalia wale majambazi au matapeli waliosifika leo wapo wapi?Taabani

Jambo la Pili:Wewe hali umeiona mwaka jana,na unasema umeisha omba sana mungu lakini wapi,hivi unafikiria mungu ni kama Kingwendu,yaani wewe unaomba unataka akufanikishie kwa wepesi namna hiyo,kuna watu wameomba hadi miaka 40 ndio wakapata.
Mwisho wa Maisha yako unahesabika na Imani yako kwa Dini huna kabisaa.
 
Mkuu mm ni Muislamu,nimeshafunga,kutoa sadaka na kuswali sana bado tatizo lipo pale pale.naomba unipe ushauri mwengine.

Ndugu kuwa na imani kama ya ibrahim aliomba mtoto kwa Mungu miaka mingi bila majibu lakini hakukata tamaa lakini baada ya miaka mia kupita Mwenyezi Mungu alimpa mtoto na jina lake Isaka baada ya hapo ,
Mungu akamwambia mwana wake wa pekee anayempenda amtoe Isaka kuwa sadaka ya kuteketeza japo alikuwa mtoto wake wa pekee na asingeweza kuzaa tena kutokana na uzee aliokuwa nao,
Ibrahimu alimwomba Mungu akampeleka Isaka kwenye mlima alioagizwa ili kumtolea Mungu mtoto wake wa pekee kuwa sadaka lakini akishakuandaa kila kitu na Isaka akiwa juu ya kuni tayari kwa kutolewa sadaka Mungu kwa kutambua imani ya kweli aliyokuwa nayo Ibrahimu na Mungu alimletea kondoo ili amchinje badala ya Isaka,
Ndugu nimekupa mfano huu kutokana na wewe kusema umekutwa na majaribu na ulifunga na kutoa zaka kwa Mungu ili mambo yako yarudi kama zamani,
Nataka nikuambie Mwenyezi Mungu huwahadhihakiwi na ni mwenye Huruma na Upendo mwingi na kwa imani yako unaonekana ulishakata tamaaa na uliamua kufunga kwa kujaribu kama Mungu atakujibu kesho yake ,
Iko wapi imani yako leo endelea kuomba na kufunga ukitoa sadaka kwa wajane, yatima na maskini na utoapo sadaka hizo hata mkono wako wa kushoto usijue Mungu atakujibu kwa wakati.
 
Nfikiri hujagusia wazazi wako kabisa au ulipopata hela ukawatupa na kuangalia ya dunia zaidi na mali yako tu hebu kawatake radhi zao, huenda ikawa dawa kwako. Na kuhusu shirk kama utaamini itakuandama lakini kama ukitupilia mbali onyo la huyo mama sidhani kama itakuumiza kichwa sana,
 
Unatakiwa kusomewa wewe ,kitabu cha mungu kimeelezea uchawi na jinsi ya kujikinga na kujitibu, so unatakiwa kipite kisomo cha nguvu na maji ya kuoga na nyumba isomewe na nk . nb usifanye uchawi ndugu yangu tafuta mashekhe wanaotibu kisuna kama unahitaj msaada nipm
 
Uliweka agano na huyo mama kuwa utamuoa mwanae sasa kwanini ubadaii mawazo, bt mrudie Mungu
 
Angalia unawezakuta unapambana na adui usiyemjua.Na kama ni temporarly money ndio mwisho wake unavyokuwaga
 
sikuhadithiwa nilimuona mwenyewe kwa macho yangu alipovunja amri ya sita.

Kiukweli ninaumia sana jinsi nilivokuwa zamani na nilivo sasa.

Naombeni munishauri nifanye nn ili niwe kama zamani.
AHSANTENI.

Mkuu mm ni Muislamu,nimeshafunga,kutoa sadaka na kuswali sana bado tatizo lipo pale pale.naomba unipe ushauri mwengine.
Na waislamu mna amri ya sita kwenye Quran?
 
Dogo pole. Unahakika mafanikio yako hayatokani na huyo mama. Ni ushauri gani aliokuwa akikupati? Sijeikawa ni ushauri wa miundimbinu!!!!
 
Kuna jambo hujaweka wazi hapa mkuu. Kwa umri huo mdogo na mali hizo, chanzo cha utajiri huo hujaweka wazi. Jaribu kuangalia namna ulivyo “bahatika” kutengeneza pesa hizo. Kama kwa nafsi yako unaona vyanzo vya utajiri huo haukuwa sawa sana then unawajibika kwa namna mali hizo zinavyopotea. Ukigundua kuwa kuna namna ambayo mali hazikupatikana kwa njia halali unatakiwa uanze kwa kutubu na baadaye umwite Mungu aingilie kati. Kama ilipatikana kihalali pia muulize Mungu akusaidie.
 
Utajiri wa kuwa na "vitega uchumi kibao" ndani ya miaka 23 lazima upotee ghafla. Embu fikiria mtu unauza elecronics, then una magari ya biashara then una maboti. Utajigawaje? Udhibiti unakua mgumu sana kwa kuwa na tamaa ya kila kitu.

Utajiri wa kudumu ni mtu kutulia na line fulani ya biashara/uwekezaji hadi ikomae kabisa ndo uchepukie kwingine. Haya mambo ya watu kupata hela na kuanza kununua magari ya biashara, mara maboti, n.k ndo yanawatoa wengi sana kwenye reli. CONSISTENCY, CONSISTENCY & CONSISTENCY.
 

Ahsante kwa ushauri
 

Kwa hio unanishauri VP.maana kwa sasa ninafanya biashara moja tu.nimefungua Bangalow kwa ajili ya watalii.Ila nimeshaichoka hii biashara maana Hawa jamaa wana mazarau sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…