Nahisi naibiwa gesi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahisi naibiwa gesi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngalikihinja, Jan 27, 2012.

 1. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,389
  Likes Received: 3,710
  Trophy Points: 280
  Msaada, nitajuwaje gesi ya kupikia ninayoinunua ina uzito ninaoambiwa na muuzaji?
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,056
  Likes Received: 7,260
  Trophy Points: 280
  Pima!!
   
 3. F

  Fofader JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Uzito wa mtungi pamoja na gesi umeandikwa kwenye mtungi.
  Mizani zipo.
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mzani Upo,not zipo
   
 5. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Unapoenda kununua akikisha kuna mzan ili upimiwe ges,. Huku kwetu arusha MANJIS ndo wezi sana
   
 6. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  nahakikisha kuwa jiko lako la gesi halivujishi gesi ,pia kumbuka kuzima jiko lako la gesi vizuri pindi umalizapo kutumia kwani kuna wakati mtu anaona kama amezima kumbe kuna gesi inavuja kidogo pasipo kujua kwani hiyo nayo inachangia kuisha haraka
   
 7. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  hamia kampuni nyingine, yako membe sana kwa sasa
   
 8. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wauzaji wengi mtaani kwetu wanapima kwanza kwenye mzani
   
Loading...