Mwanaume kabla hajaoa, akili yake inakuwa inawaza kujigjig tu, huwa anaamini muda wote akiwa na mkewe itakuwa full kubinjuana...
Saijolojia katika ufanyaji mapenzi baina ya mwanaume na mwanake ipo tofauti sana, mwanamke kuwa tu na mtu anayempenda hicho ndio kipaumbele namba moja mengine hufuata baada ya hilo (unaweza pata sex ipo sijui namba ngapi huko)...