MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,460
- 1,476
Ndo anatakiwa ajipange akapime aishi akiwa na uhakika na siyo dhanaDNA sio ka kupima malaria unaanzia kwa mtendaj sahv inaweza kuwa 200k
acha kuhisi, ulitakiwa kujiridhisha tangu mimba, sio mtoto kazaliwa ndo unaaanza kukimbia majukumu, , laa humuamini mwenziwako kuna kipimo cha DNA TEST. nenda kapime uone utakavyoumbuka.Habari Zenu wana Jf, Kuna binti Nina Mahusiano nae, ni ( Bar tender ) Aliniambia ana Ujazito na Na nimeukubali hadi Sasa Amejifungua, Ila Ghafla nimepatwa na hofu na Sijui kwa nini, Nahisi tu, Huyu Mtoto Si Damu Yangu
Ndomana ikawepo kipimo cha DNA....
DNA sio ka kupima malaria unaanzia kwa mtendaj sahv inaweza kuwa 200k
Swali la kizushi, Ulikula au hukula? Ulitumia kinga au hukutumia? Uliingiza kwenye tundu au uliingiza masikioni? Uliambiwa from the beginning au kukuambiwa? Kama maswali yote hayo unayo majibu yake basi usikimbie majukumu
acha kuhisi, ulitakiwa kujiridhisha tangu mimba, sio mtoto kazaliwa ndo unaaanza kukimbia majukumu, , laa humuamini mwenziwako kuna kipimo cha DNA TEST. nenda kapime uone utakavyoumbuka.