Nahisi menejimenti ya UDART imebadilika

Nahisi menejimenti ya UDART imebadilika

Dindira

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Posts
2,912
Reaction score
3,468
Leo magari ya UDART yalikuja kwa wakati na kwa wingi kiasi kwamba japo tulijaa lakini sio kama siku za nyuma.

Nahisi kuna mabadiliko kwenye uongozi.
 
Leo nimeona tofauti kubwa sana kwenye hudma za UDART. Efficiecy imepanda mara dufu. Mabasi yanakuja kwa wakati na kwa wingi. Big up udart. Nahisi uongozi mbovu uliokua madarakani ambao haukua na dira umetumbuliwa au wamepewa onyo au wamestukia kasi ya mheshimiwa Rais wakabadilika. Sio bure
 
Watu wengi tumeacha kwenda mujini. Mujini ajira hakuna. Siku hizi zinajaa gari za kwenda shamba Mlandizi.
 
Leo magari ya UDART yalikuja kwa wakati na kwa wingi kiasi kwamba japo tulijaa lakini sio kama siku za nyuma.

Nahisi kuna mabadiliko kwenye uongozi.

Kama management wangejiwekea utaratibu wa kuwa vituoni kutazama hali halisi ya usafiri na hata kusafiri na hayo mabasi naamini mambo yangekuwa safi
 
Kama management wangejiwekea utaratibu wa kuwa vituoni kutazama hali halisi ya usafiri na hata kusafiri na hayo mabasi naamini mambo yangekuwa safi
Mameneja muda wote wako Manzese wanakula supu ya utumbo kwa mama ntilie. Hapakua na mtu wa kuona kasoro. Mida ya rush hour jioni tayari walikua wamelewa kangara. Dengerua na chibuku
 
Leo magari ya UDART yalikuja kwa wakati na kwa wingi kiasi kwamba japo tulijaa lakini sio kama siku za nyuma.

Nahisi kuna mabadiliko kwenye uongozi.
USIWAAMINI UDA ni wanafiki wanaonuka!
leo kulikuwa na ugeni wa RWANDA walikuja kujifunza mrad unavoendeshwa! aibu tupu mpaka waje wagen ndo mfanye kaz!
mna laana za kujaza watu kama magunia ya mahnd wakat magar mnaficha yadi
 
Nilihisi kuna kitu. Sio bure. Kukuta Kimara watu wanaingia kwenye magari kiungwana. Sasa kama kuna kamchezo. Tumshikie bango kiongozi wa Dart humu humu mpaka atumbuke
 
USIWAAMINI UDA ni wanafiki wanaonuka!
leo kulikuwa na ugeni wa RWANDA walikuja kujifunza mrad unavoendeshwa! aibu tupu mpaka waje wagen ndo mfanye kaz!
mna laana za kujaza watu kama magunia ya mahnd wakat magar mnaficha yadi
Aisee..., kwahiyo wamemwaga magari ili ionekane huduma ni nzuri mbele ya wanyaRwanda sio? It seems wanafanya hivyo ili ku-cut down expenses na ku-maximize profit na ndio maana wanaficha magari yard..
 
Aisee..., kwahiyo wamemwaga magari ili ionekane huduma ni nzuri mbele ya wanyaRwanda sio? It seems wanafanya hivyo ili ku-cut down expenses na ku-maximize profit na ndio maana wanaficha magari yard..
serikali ni kama wanafurahia hyo hali, kwa kuwa wanatumia gari zenye viyoyoz hawana shda
 
Ina maana Mgwasa alikuwa hafai?
Mgwassa anafaa sana tatizo pale usukuma ulizidi wamemtimua pia kuganda na kumleta DEO ambae ni mtupu kabisa kichwani, hii imetokea Leo kwa vile wanyarwanda wamekuja. Kuna vimjamaa kutoka izrael eti wanakuja kua TO kweli tumefikia hapo
 
Back
Top Bottom