habari wana MMU....
nina mdogo wangu wa kiume ambaye hv karibuni niliporudi kutoka chuoni nimemkuta yupo katika mahusiano na mwanamke ambaye anaonekana ni bibi ila yeye anadai ni msichana mdogo na anampenda sana. nimejaribu kufatilia historia ya huyo bibi kiukweli siyo nzuri sababu ameuza hadi baa... nifanyaje mwenzenu sababu huyu dogo hashauriki. nina wasiwasi labda huyu bibi amemroga mdogo wangu. kinachoniuma huyu dogo ndo kwanza yupo kidato cha tano nishaurini wadau....!!!

kwahy mkuu ndugu yako mfano akiwa anatembea na mtu mwenye HIV na wewe unajua utamwacha!!!
kuanzia kama 29 hv mkuu.......
Sasa kama anatembea nae nikimuambia au kuanzisha mavurugu ili waachane itasaidia nini?
Huwezi hata kumpangia kama akiamua kutumia madawa ya kulevya sembuse mpenzi?
ni mtu wa TABORA mkuu,,............
ni mtu wa TABORA mkuu,,............