Nahisi maumivu

wida

you are too young to worry....kwa umri wako kaa stend and wait for another. Ni kama bus you miss one you see another one coming down the road.
 
Last edited by a moderator:
Asiyekupenda achana nae, usiumize nafsi yako kaka
 
Muombe msamaha aridhike unajua wanawake wanapenda sana kubembelezwa atakuelewa tuu huenda anataka kujua kama unamjali au laa
 
Ungekomaa na shule ingekuwa Nzuri sana, kuliko unachokifanya...
 
�� haaa!!! Huyu nae mbona anachanganya hoja
 
Acha ujinga wako kwanza hata tution huendi umekuja kuandika ujinga humu,,,,nasubili shule zifunguwe kwa hamuu mrudi shule
 

Nashkuru ahsante
 
Kazana tu na shule mkuu,achana na hayo mambo
 
Kwani anakupa ugali uyo?? au anakupa godoro ulale?
 
Mapenz hayana formula Wewe.majibu sahihi yanatoka kwa Mungu pekee pigs magoti kwa Mungu akupe ujasir na akuongoze ili uweze kufanya maamzi ya busara
 
muache asepe...unaweza kung'ang'ania DCM kumbe nyuma kuna coaster yenye AC tena ipo tupu
 
Mapenz hayana formula Wewe.majibu sahihi yanatoka kwa Mungu pekee pigs magoti kwa Mungu akupe ujasir na akuongoze ili uweze kufanya maamzi ya busara

Inshaallah
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…