Nahisi kupoteza uzalendo kwa taifa langu

mkubhi

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
2,216
3,319
Eti kwenda kuvamia kituo cha clouds ni habari za mitandaoni!!!

Unasema ni habari za mitandaoni, Mitandaoni watu wamevamiwa!?!?

Hivi clouds media wameipokeaje kauli ya rais!?!?

Hivi rais amepungukiwa nini ili tuingie kwenye mafungo rasimi ya kuweza kumsaidia!?!!?

Kauli ya rais kwa kweli imeninyanyasa sana na nahisi kupoteza uzalendo kwa nchi yangu!!

Eeehh MUNGU wangu uko wapi haya hauyaoni!?!?
 
Sasa kama unajua Kuvamiwa sio HABARI ZA MITANDAONI, kwa nini uone alimaanisha hiyo habari wakati kunahabari nyingi kuhusu bashite mitandaoni.

Mtanzania hawi Mzalendo kwa sababu ta MTU mmoja bali kwa sababu ya taifa zima.
 
Makonda kwa sasa ni Mungu na magufuli ni malaika
 
Sasa kama unajua Kuvamiwa sio HABARI ZA MITANDAONI, kwa nini uone alimaanisha hiyo habari wakati kunahabari nyingi kuhusu bashite mitandaoni.

Mtanzania hawi Mzalendo kwa sababu ta MTU mmoja bali kwa sababu ya taifa zima.
Uzalendo husima palipo na usawa ... Nabaguliwa , no equal treatment uzalendo nitautoa wapi!?
 
Eti kwenda kuvamia kituo cha clouds ni habari za mitandaoni!!!

Unasema ni habari za mitandaoni, Mitandaoni watu wamevamiwa!?!?

Hivi clouds media wameipokeaje kauli ya rais!?!?

Hivi rais amepungukiwa nini ili tuingie kwenye mafungo rasimi ya kuweza kumsaidia!?!!?

Kauli ya rais kwa kweli imeninyanyasa sana na nahisi kupoteza uzalendo kwa nchi yangu!!

Eeehh MUNGU wangu uko wapi haya hauyaoni!?!?
Mkuu umesahau ule msemo unaosema ukipenda unakuwa kipofu?
 
Sasa kama unajua Kuvamiwa sio HABARI ZA MITANDAONI, kwa nini uone alimaanisha hiyo habari wakati kunahabari nyingi kuhusu bashite mitandaoni.

Mtanzania hawi Mzalendo kwa sababu ta MTU mmoja bali kwa sababu ya taifa zima.
Makongoro nyerere vijana wa ccm MIFUGO
 
Uzalendo husima palipo na usawa ... Nabaguliwa , no equal treatment uzalendo nitautoa wapi!?
kama unadhani unabaguliwa unapaswa kuwa mzalendo kuliko siku zote ili siku moja usaidie usibaguliwe na ndugu zako wasibaguliwe. Unafanya kinyume na ukweli...
 
Wewe hii nguvu unaitoa wapi ya kuendelea kumkingia sizonje kifua!??!
 
simkingii kifua maana sina huo uwezo.
Ila ni uzembe wa hali ya juu kutishia kutokuwa mzalendo kisa umetofautiana na mtu mmoja. Uzalendo ni beyond vyeo vya watu. Wenda unapaswa usome darasa la uzalendo kabla hujachukua maamuzi dhaifu kiasi hicho.
 
kumbe unahisi inamaanisha hauna uwakika na unachosema

ukipoteza kabisa naomba utuambie tunaweza kukutoa kwa mkopo kwa mugabe ukakae miaka iyo 8 iliyobaki
 
Kwa vile ubaraka ya sizonje kama bashite unaweza kunitoa kwa mkopo!!
 
Back
Top Bottom