Jina la computer inawezekana amebadilisha wakatia anaweka windows mpya.... iyo chata unayosema unaiona mwanzoni ilikua inaonekana chata gani au haukuona kitu chochote??Wakuu kuna fundi nimempelekea laptop yangu window ilikuwa inataka niuptudate nikachelewa ikawa black kwahyo alikuwa anaweka window nyingine amefanya kazi hyo kwa kama siku mbili japokuwa iko chini ya kiwango ok comp yenyew ni hp compaq presario q40 ram 2g na procesor 1.6 lakini naangalia properties ya comp. Nimekuta data kwamba INSTALLED MEMORY(RAM) 2GB PROCESOR 1.6 af pembeni kuna CHATA(ICON) YA DELL kwa mara ya kwanza nilimuuliza akanipa majib ya juu juu af kuna jina la comp kabla ilikuwa (user) saiz nakuta ac milan haya mambo yananisumbua na yananipa mzigo na hasira naomba maelezo wataaram je haya mabadiliko kawaida au ni nin?
dell na Hp mbona sijaelewa? Hebu punguza hasira useme vizuri.
Mpeleke polisi.
Pole sana,, kwanza ondoa hofu computer haijaharibika/haijaharibiwa ila inaonekana fundi ni wakimagumashi alichofanya jamaa ameinstall window isiyo na original product key so alipomaliza kuinstall hiyo window feki ilimlazimu ai-crack ili product key ya window ionekane ipo activated then wakati wa ku-crack alikosea kuchagua OEM ya aina ya computer yako..yeye alichagua OEM ya dell badala ya HPCompaq...ILA HAINA EFFECT YEYOTE KAMA UNAONA COMPUTER HAIPO KWENYE HALI YAKE YA KAWAIDA(procesing speed) UNAWEZA UKAFORMAT TENA KWA FUNDI WA UKWELI AKAKUWEKEA WINDOW AMBAYO NI NZURI,,,Wakuu kuna fundi nimempelekea laptop yangu window ilikuwa inataka niuptudate nikachelewa ikawa black kwahyo alikuwa anaweka window nyingine amefanya kazi hyo kwa kama siku mbili japokuwa iko chini ya kiwango ok comp yenyew ni hp compaq presario q40 ram 2g na procesor 1.6 lakini naangalia properties ya comp. Nimekuta data kwamba INSTALLED MEMORY(RAM) 2GB PROCESOR 1.6 af pembeni kuna CHATA(ICON) YA DELL kwa mara ya kwanza nilimuuliza akanipa majib ya juu juu af kuna jina la comp kabla ilikuwa (user) saiz nakuta ac milan haya mambo yananisumbua na yananipa mzigo na hasira naomba maelezo wataaram je haya mabadiliko kawaida au ni nin?
Mpeleke polisi.
Kweli kuna watu wana presha za kujitakia! Yaani emotions zote hizo juu ya icon,tena ambayo hujaielewa? How do u handle life stress?unaagiza jitu spare ya $ 1000, afu anakuletea the wrong one na gharama ya kuirudisha ni kubwa!? Si utaua bure?
kaka isue ya kawaida hiyo .As long ram yako iko vile vile ,nikwamba katumia cd original ya window sema ilikuwa aimed for dell hata isikusumbue akili we fanya isue zako tu,labda kama hiyo window inazingua badilisha weka nyingine.