Nahisi kudata

hiyo sabuni kwenye jina lako ni kwasababu ya nyeto?
 
Pole mbana kuna wasicha wazuri tu duniani wewe umeathirika kisaikorojia muone daktari kwa ushauri zaid
 
dogo hayo ni mapenzi ya kwenye tamthilia za kizungu na kifilipino, nothing real hapa duniani kuwa unaweza kumpanda mwanamke wa zamani kiasihicho hadi hutamani wengine. au labda una tatizo la kisaikolojia. watu wako kwenye ndoa na bado wanapenda wa nje, na hata huyo unayempenda unaoa anakufa hata mwaka haujaisha umeoa mwingine.....hamjazaliwa naye huyo halafu si ajabu ukimkuta mwanamke mwenyewe unayempenda na kusema yeye alikupenda, utakuta ana watoto watatu kwenye ndoa yenye upendo na alishakudelete si ajabu akakukataa kama anakujua mbele ya jamaa aliyekuzidi miaka kumi....tulia kaka zako tule vyenu.

hao wanawake wanaokuonyesha wanakupenda, wanapenda hela tu. mwanamke ukiwa na hela hata kama una chongo atakupenda na kukulilia.
 
Wakubwa nimeandika uzi huu ili tusaidiane ,may b psychological problem nimeshadate na wasichana kama wa4 tofauti nashindwa kudum nao najikuta ni mtu wa kutengeneza mahusiano mapya kila siku mpaka nimeamua kuwa mtu wa kilaj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…