Mbulukenge
Senior Member
- Jun 26, 2019
- 135
- 313
Nashukuru kwa mawazo ila naona changamoto haziishi ndugu yanguUsiishi kwa kutazama wenzako wamefanikiwa ile hali wewe bado hujui kesho yako....
Pole kwa loss ndugu yangu sio "lose"Nashukuru kwa mawazo ila naona changamoto haziishi ndugu yangu
Illegal business huziwez mkuu una roho nyepesi sana kama ya bata sasa basi kuna pesa za majini sema kama upo tayari
Mkuu kwenye mafanikio hakuna usomi hata kidogo na ukitaka ufanikiwe achana na hiyo imani ya kijinga ya usomi, vyote ulivyojaribu kufanya vinafanywa na watu wa kawaida kabisa na vinawapa faida nzuri tu ila wewe vimekushinda.Me ni degree holder ila naona life limenishinda kabisa...
Soma hapa www.amkamtanzania.comMe ni degree holder ila naona life limenishinda kabisa...
sasa i could assist you, help you, lakini ulipotaja your fellow graduates nikakoma, je usasoma historia ya waliofanikiwa katika maisha kwa hali ya juu, wengi hata hawakumaliza mwaka wa pili hapo chuo hata kaa wengi walisoma ulaya na huko ndiko walipozaliwa, a DEGREE is not a must for you to succeed in life, CREATIVITY AND INNOVATION AREMe ni degree holder ila naona life limenishinda kabisa...
Mkuu huu ushauri ndio nausikia leo,Ukitaka kufanya biashara usiifanye kisomi biashara ukiifanya kisomi lazima uumie
Maana hapo juu umetaja majina ya biashara ambazo sijawahi hata kuzisikia
Ni sawa sawa na kazi ukitaka kufanya kazi usifanye kazi za watu waliosoma
Kama security au shopkeeper
Pole sana ndugu, kweli kuna changamoto kubwa sana kazi kwa miaka hii.kuna jamaa nmfamu ni graduate anafanya kazi za ulinzi. Ambayo kwa kwa graduate ni kwamba amefanya maamuzi magumu. Kwa nyakati hizi kabla hujafanya lolote ni lazima kuangalia jamii iliyokuzunguka inahitaji nini, ukaweza ku solve problem yao hiyo ni fursa.Me ni degree holder ila naona life limenishinda kabisa.
Napata majanga kwa kila nacho fanya nimejaribu kulima ila mazao yalikauka,
nikasema nifanye biashara sasa navyo ongea hivi mtaji ote umeteketea,yaani loss imekua kubwa kuliko profit.
Msaada wa mawazo ndugu zangu nifanye nini natamani ata kufanya illegal business ili nipatae angalau pakula na kulala.
Legal business imenitesa tu for 4 years now mliofanikiwa especially graguates wenzangu msaada wa mawazo.
Ameomba msaada wa ushauri mkuu!! hapo umeelezea matatizo!!Usiishi kwa kutazama wenzako wamefanikiwa ile hali wewe bado hujui kesho yako.
Ulijua baada ya ku-graduate utapata nafuu kimaisha ila hali imekuwa sivyo cha msingi ni kuacha kuwaza illegal issues.
Pole kwa wakati mgumu unaopitia ila kuna watu wana changamoto kubwa zaidi yako. Kama wewe unaweza kupata hata mtaji wa kilimo na biashara huoni una unafuu zaidi ya wengine.