Sawa. Weka picha basiNipo mbele yenu wana jukwaa wenzangu nimeoa, na Niko kwenye ndoa kwa muda wa miaka mitatu sasa. Tatizo langu ni kwamba nimewahi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja kwa miaka miwili hatukufanikiwa kupata mtoto. Tukaacha si kwasababu ya kutopata mtoto Bali Mimi nilienda chuo nayeye akaenda kusoma kwa bahati nzuri yeye akamaliza chuo akaolewa Mimi nikapata binti ht sikuhangaika ndani ya wiki binti mimba namtoto tunafanana sana nikapata mwanamke mwingine ndani ya wiki mimba. Lkn sasa Niko kwenye ndoa halali ya kanisani huu mwaka was tatu hamna mtoto shida nini ndugu zangu naombeni ushauri wenu. Nakosa raha Mimi ni mwanaume.
Mkuu yawezekana kuna kitu ndani eee...ngoja namimi nisubiri jibu lake!!SIKU MKEO AKITOKA, FANYA KUKAGUA CHUMBA KIZIMA, HAKIKISHA HAKUNA UMEACHA UTAKUJA NIPA JIBU NINI UMEKUTA.
NB:NIKO SERIOUS NA HILI
AiseeeOkay......
Kwahiyo tatizo lako ni kukaa kwa ndoa kwa mwaka tatu, ama shida ni mahusiano yako yakiopita hamkufanikiwa kupata mtoto na uliehusiana nae sasa amemaliza chuo
Shida ni mtotoAiseee
Nimebaki mdomo wazi
Inabidi atafutwe doctor mwakaShida ni mtoto
asante nduguPole kwa kukosa raha. Nendeni hospitali mkafanye uchungizi mjue chanzo cha kukosa mtoto.
Kupata kwako mtoto huko nyuma sio kigezo cha wewe kutokuwa chanzo cha kukosa mtoto kwenye ndoa yako. Hivyo wote wawili mkafanyiwe uchunguzi.
Asante mkuumbegu zimeishia kule ulikokuwa unawapa mimba,,,, now umebakia na makinikia.....peleka hospital wakaayakague jomba....
Kabisa mpk watoto nahudumia na tunacheka poa kbs