Nahisi kama tumeachana....!

sasa mbona hayo makofi yamezidi ma3 jamani, kama ma5 vile
 
Bora tu aishie, kuwa na mwanaume kama wewe ni heri kisado cha karanga ntatafuna
 
mkuu ulizidisha makofi sio matatu kama ulivosema pwa 1 ,pwa2,pwa3,pwa4 pwaaaaa5 makofi matano
 
Wanaume wanaopiga wanawake are not sexy at all, afu kosa lenyewe sasa..... chaaa!
 
Kwani wewe huwezi kubadili dini hadi abadili yeye? Acheni huo mfumo dume🙁. Halafu makofi wakati wa uchumba😳 Je mkioana si ndio mapanga?.
 
Kwani shida yako ni nini? Si ulikuwa unataka visingizio ili umpate wa dini yako? Mdada wa watu si kakupisha? Acha kuchezea hisia za watu eti kumbukumbu? Kumbukumbu my foot! Fanya yako mungu atampa anaempenda zaidi yako.
 
Wanawake kwa kuburuzwa ni balaa hadi huruma. eti unabadiri dini ili uolewe? kwani wa dini yako hakuna? kujifunza dini za watu ukubwani nako taabu kweli
 
Yeye alikufanyiaga kosa gani na akakuomba msamaha ukamsamehe? Alichepuka au.??
 
Mkuu hayo makofi hapo ni matatu? Hebu yahesabu tena utujie na hesabu kamili.
Ni makofi matano , nadhani ilitakiwa iwe pwa pwa na la mwisho pwaaa.. hahahaha , jamaa anajua kusimulia sana huyu
 
ndio madhara ya njoo tukae kienyeji tukichunguzana eboooh kila mtu angekaa kwake mkakutana siku za hutuba ya magufuli tu uwanja wa taifa hayo yoote ya pwa pwa pwa pwa pwaah yasingekuwepo. Hunaniweka ndani eti week, mwezi, miezi n.k eti wapenzi eeehhh tukiona hatuendani nakaa na mwingine tena?? kuzeesha papuchi yangu na mtu sio mume aikanyage kutwa mara 3/7 kama panadol niishiew pwaaah hapana.
 
Nia yako aondoke uoe wa dini yako sasa umefanikiwa endelea NA maisha...
 
Inaonekana unampenda huyu binti uliyempiga makofi na ndio maana siku haijapita ukaumia kwaajili yake, Usimpoteze moja kwa moja kwsbb anaweza akapata mtu mwingine halafu bado unampenda Utakuja umia zaidi.

Nilikuwa mtu wa dizain hiyo na mwenye hasira za haraka na mgomvi ktk mapenzi ila nimegundua haina maana zaidi ya kuelewana,hapo labda muachane kwa kigezo cha dini.
 
Mkuu bila hata kuzama kwa undani kufikiri kwenye mjadala huu, mwanaume mwenzangu ulikosea.
Jiulize tu pole pole wewe binafsi peke yako, je, ungemkuta kwenye Hand bag yake katunza picha ya mtu wake wa zamani ungemuelewa?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…