MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,139
- 3,227
Inawezekana ujauzito kupitiliza miezi 10?😭Pole sana ila sio dhambi kulea mtoto wa mwingine mkuu…
Usilie lie mkuu embu beba majukumu kama wa kiume…Inawezekana ujauzito kupitiliza miezi 10?😭
Unataka nilee mtoto ambae sio wangu.Usilie lie mkuu embu beba majukumu kama wa kiume…
Kwani utakufa tambua kuwa kutoa ni moyoUnataka nilee mtoto ambae sio wangu.
Alpha Team; I repeat MAN DOWN!Man down
We copy !!! Over ..Alpha Team; I repeat MAN DOWN!
Sikia, ikiwa umemkuta tayari na mtoto ni sawa kabisa kumlea mtoto Kama wako. Ila mpo kwenye mahusiano alafu akapata mimba na ukagundua mtoto sio wako na bado mkaendelea na mahusiano basi utakua bonge la FALA tena mpumbavu mkubwaPole sana ila sio dhambi kulea mtoto wa mwingine mkuu…
Mimba sio yako kabisa...... Ingekua Ina miez Kumi kweli sa hv alitakiwa awe hospital kuanzishiwa uchunguSitaki kuandika maelezo marefu sana naenda moja kwa moja kwenye Mada maana kichwa kimechemka:-
Huyu demu nilikutana nae kimwili mwishoni mwa mwezi wa saba, ndani ya mwezi wa 8 akaniambia hajaona siku zake maana yake ana ujauzito wangu, mimi sikuleta ubishi nikakubali na nilimwambia nitakuwa nae bega kwa bega hadi mtoto atakapozaliwa.
Kilichonifanya nikimbilie kwenu wana Jf ni hiki.
Nikipiga hesabu ya miezi 9 ya ujauzito nilitengemea atajifungua mwezi wa 4 lakini hadi leo mwezi wa 5 na tarehe zinaelekea mwishoni sioni hata dalili. Na nikipiga hesabu toka mwezi wa saba mwishoni hadi mwezi huu wa 5 inafika miezi 10 ya ujauzito.
Je inawezekana kweli hii maana Nahisi kama nimeingizwa chaka, msaada wenu kimawazo.
Swali..mimba anayo au hana?Sitaki kuandika maelezo marefu sana naenda moja kwa moja kwenye Mada maana kichwa kimechemka:-
Huyu demu nilikutana nae kimwili mwishoni mwa mwezi wa saba, ndani ya mwezi wa 8 akaniambia hajaona siku zake maana yake ana ujauzito wangu, mimi sikuleta ubishi nikakubali na nilimwambia nitakuwa nae bega kwa bega hadi mtoto atakapozaliwa.
Kilichonifanya nikimbilie kwenu wana Jf ni hiki.
Nikipiga hesabu ya miezi 9 ya ujauzito nilitengemea atajifungua mwezi wa 4 lakini hadi leo mwezi wa 5 na tarehe zinaelekea mwishoni sioni hata dalili. Na nikipiga hesabu toka mwezi wa saba mwishoni hadi mwezi huu wa 5 inafika miezi 10 ya ujauzito.
Je inawezekana kweli hii maana Nahisi kama nimeingizwa chaka, msaada wenu kimawazo.
Ni sawa lakini nimekata tamaa kuhusu huu ujauzitoMkuu kitanda hakizai haramu
Sawa, lakini siwezi kufanya hivyo.Kwani utakufa tambua kuwa kutoa ni moyo
😭 HakikaMan down
Mkuu hata Sielewi kama zilikuwa siku za hatari...Kosa lako ni kumpa moyo wa kuwa nae bega kwa bega ,ni kosa la jinai kukubali ujauzito kirahisi rahisi ivo, mnabambikiwa mimba kizembee,
Google ipo inasaidia conceive calender,
Je ulifanya nae mapenz siku za hatari? Au unajuwa ukifanya tu ni mimba?,
Sasa ni hivi umebambikiwa na uyo mwanamke atakuwa na kadi mbili au tatu
Nawe muulize mbona miezi tisa imepita!?