Nafuta kazi ya kufundishaa

joboychali

Senior Member
Feb 3, 2017
169
85
Wana jf Mimi ni mhitimu wa degree natafuta kazi ya kufundisha katika masomo ya uchumi na Jiografia. Nipo tayari hata kwa kujitolea kukiwa na makubaliano ya kupewa makazi na maladhi .Nipo tayri kufanya kazi sehem yeyote ile hapa nchini.
 
Acha mawazo ya kimaskini!
Woga wako ndio umaskini wako!
Hivi kila mtu akisema afanye kazi aliyosomea unafikiri inawezekana?
Elimu uliypata jaribu kuitumia kama confidence kwako ila isiwe ndo kila kitu kwako!!
Kujitolea malazi na makazi huo si utumwa?
Kijana education ni pana sio lazima uwe mwalimu fungua fursa acha kulalamika.
 
Mpe fursa zaidi anayoiona yeye sio utacoment tu!

Kama huna kaz kaa kimya
 
Acha mawazo ya kimaskini!
Woga wako ndio umaskini wako!
Hivi kila mtu akisema afanye kazi aliyosomea unafikiri inawezekana?
Elimu uliypata jaribu kuitumia kama confidence kwako ila isiwe ndo kila kitu kwako!!
Kujitolea malazi na makazi huo si utumwa?
Kijana education ni pana sio lazima uwe mwalimu fungua fursa acha kulalamika.
Mawazo yako ni mazuri ila umeanza kumsimanga sana kabla ya kumshauri, najua hujui anaishi maisha gani mpaka mtu mzima atamani kujitolea.

Wewe kama kweli una nia njema mpe ushauri, inaonekana jamaa yuko 0 kabisa kwenye uchumi ndo maana anatamani ajitolee, mshauri bila kejeli wala masimango.

Ukiwa na vifedha vya kula usidharau wenye njaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom