Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,395
- 6,556
sijui kama niko sawa kisaikolojia japo kuna marafiki wangu wa dar
Tatizo ugwaduWaendelee kukukataa kwani ukikubaliwa utawasaliti kama jina lako la Uyuda
Hapana kuna mademu wananikubali sana.hiyo ni kukataliwa fetish iliyosababishwa na trauma... tafuta chanzo ulikosea wapi
una kiba 💯 au... simba hakataagi nyama atakama kashiba atazikusanya aziweke tuHapana kuna mademu wananikubali sana.
namimi nikiona wananinyemelea nakula kona naenjoy kuona watakavyokuwa wanapata maumivu kwa ajil yangu
Angalia usije ukaishia kuwa bottomHabari wakuu...
Nimetimiza miaka 9 sasa bila mahusiano na demu.