Nafurahi kuona utulivu humu

Baada ya matokeo ya Kalenga kutoka,sijaona papara papara nilizozoea kuona baada ya uchaguzi,watu wamekubali yameisha!

MAJIBU SAHIHI
--------------------
Jibu ni kuboreshwa kwa Daftali la wapiga kura tuu.

Leo ni mabibi ndio yamepiga kura kalenga sasa unafikili maCCM yangefeli kweli....

Makamanda piganieni maboresho ya daftali sasa chaguzi hizi, kwa mjini kama chalinze tutashinda tu ata kwa daftali hili.

Mungu bariki Tanzania
Mungu bariki Tendega for 2015
 
Kwahiyo Arumeru daftari la wapiga kura liliboreshwa? au ndio mfamaji ........
 
MAJIBU SAHIHI
--------------------
Jibu ni kuboreshwa kwa Daftali la wapiga kura tuu.

Leo ni mabibi ndio yamepiga kura kalenga sasa unafikili maCCM yangefeli kweli....

Makamanda piganieni maboresho ya daftali sasa chaguzi hizi, kwa mjini kama chalinze tutashinda tu ata kwa daftali hili.

Mungu bariki Tanzania
Mungu bariki Tendega for 2015

Huna heshima kuita watu "Mabibi yamepiga kura"
 
MAJIBU SAHIHI
--------------------
Jibu ni kuboreshwa kwa Daftali la wapiga kura tuu.

Leo ni mabibi ndio yamepiga kura kalenga sasa unafikili maCCM yangefeli kweli....

Makamanda piganieni maboresho ya daftali sasa chaguzi hizi, kwa mjini kama chalinze tutashinda tu ata kwa daftali hili.

Mungu bariki Tanzania
Mungu bariki Tendega for 2015
Hii ilkuwa jana, kabla ya matokeo.
quote_icon.png
By Imma Saro
Kalenga leo itaandikwa historia. Itakuwa historia ya pekee kwao na Taifa kwa ujumla. Historia ya kukataa kutawaliwa na CCM na kukubali kuongozwa na CHADEMA. Historia ya kukataa kuomba huduma zao za kikatiba na Kudai. Wataandika historia ya kumkataa mwana wa mfalme na kuamua kuongozwa na Mama Mlezi Grace!. Wameelewa maana ya Grace. Naam! Wataamua kuichagua CHADEMA na kuikataa CCM.

Mungu ibariki CHADEMA
Mungu ibariki Kalenga
Mungu ibariki Tanzania

J.R.Selasini,
MB. Rombo -Chadema.
 
MAJIBU SAHIHI
--------------------
Jibu ni kuboreshwa kwa Daftali la wapiga kura tuu.

Leo ni mabibi ndio yamepiga kura kalenga sasa unafikili maCCM yangefeli kweli....

Makamanda piganieni maboresho ya daftali sasa chaguzi hizi, kwa mjini kama chalinze tutashinda tu ata kwa daftali hili.

Mungu bariki Tanzania
Mungu bariki Tendega for 2015
Kwa mtindo huu tusitegemee mapya 2015,daftari la upigaji kura ni janga
 
22,000-5,000=17,000, ni kweli watu 17,000 hawajaandikishwa kwa SABABU INAHITAJI KURA 17,000 KUFIKIA KURA ZA MGIMWA ALIZOPATA KALENGA, JE? HAO WATU 17,000 WOTE NI CDM, TAFAKARI
 
Unawaita wapiga kura mabibi? Hivi una adabu kweli?

Hata kama una miaka 18 halafu ukachagua chama cha majuha (CCM) basi wewe kiakili ni mbibi au mbabu tu, yaani umeshafikia kikomo cha mwisho cha kufikiri na huna tumaini lolote.
 
Back
Top Bottom