Nafungua iphone passcode lock na kutoa icloud

Nafungua iphone passcode lock na kutoa icloud

DonCarlos100

Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
40
Reaction score
18
nafungua iphones zenye passcode lock na kutoa icloud nasisitiza natoa icloud sio kufungua,na sio iphones zote zinaweza funguliwa especially ambazo zinalatest versions za IOS but whatever lete simu yako niishughulikie bei maelewano

nikiishamalizana na iphone yako inakuwa mpya bila ownership ya mtu yeyote yule mpaka utakapo sign in na apple id so its safe hautaweza patikana hata kama utaleta uliyoiba au uliyookota

my number 0692747618
 
Hapo sasaaa
we kaza vyuma sisi tuvilegeze kwa kuhalalisha visivyo halali, maisha lazma yaende si Magogoni si Kwa mtogole. siku si nying utaskia tunafufua marehemu aliesahau kugawa urith.
All in all utapata wateja weng sana ilo tatzo ni kero.
 
hakuna hicho kitu cha kutoa iCloud wewe labda za iPhone 3 huko
 
Nilipataga iPhone 6 moja jamaa amezunguka nayo kakosa wa kumuuzia akaja kwangu kutaka 50,000/= nikaringa.aisee ningejua ningepatana nae hata kwa 30,000/= tu.
 
Back
Top Bottom