Nafungua Akaunti Za Bank Uingereza

Nafungua Akaunti Za Bank Uingereza

Karibuni tuwatapeli. Xmas imefika ikiwa Na nduguzo January, ada za watoto, uniforms Na uchakavu wa December havijatuacha salama. Karibuni wateja typone
Una negative attitude mkuu.....posts zako na mada zako zmekaa negative mno....ushawah leta mada ya mabasi mabovu na ukayataja paspo kujua impact ya kibiashara kwa ulioqashutumu....unakuja kukoment mapema mwanzon kabsa mwa uzi kana kwamba mleta uzi n tapeli.....kwa nn usijipe muda ukasoma posts na maswal watakayouliza members kisha ukachek respons ya mtoa mada....ndipo ujiridhishe kuwa n utapeli au n real business!!

Mitandao ya kijamii n sehemu ya kutafuta fursa na channels...sio sehem ya porojo tu....chek fikra zako zisiwe n za kuharibu zaid kuliko kunenga ....jifunze kuwa na subra sio kila kitu n lazima uchangie!!
 
iyo pesa unaiingiza kwenye hiyo card then unaituma ama?
 
huyo jamaa mpuvzi sana nimemuona kwenye thread nyingi sana yeye kazi yake ni kuponda tu, usiponde biashara ya mtu bila sababu za msingi hujui biashara yake inalisha watu wangapi, hujui anauguza na kusomesha kwa biashara yake. Zaidi ya kufugia nywele, kichwa unaweza kukitumia kufikiri Bujibuji
 
Una negative attitude mkuu.....posts zako na mada zako zmekaa negative mno....ushawah leta mada ya mabasi mabovu na ukayataja paspo kujua impact ya kibiashara kwa ulioqashutumu....unakuja kukoment mapema mwanzon kabsa mwa uzi kana kwamba mleta uzi n tapeli.....kwa nn usijipe muda ukasoma posts na maswal watakayouliza members kisha ukachek respons ya mtoa mada....ndipo ujiridhishe kuwa n utapeli au n real business!!

Mitandao ya kijamii n sehemu ya kutafuta fursa na channels...sio sehem ya porojo tu....chek fikra zako zisiwe n za kuharibu zaid kuliko kunenga ....jifunze kuwa na subra sio kila kitu n lazima uchangie!!
Kwanini hukuorodhesha majina ya bank ambazo wewe ni wakala wake, Na ukaweka Na utaratibu wa kufungua hizo account Na ukaelezea kyc system yako? Tangazo lako lilikuwa very unprofessional
 
Nimeona nijibu...hao wanaosema ni utapeli ni watu wasiojielewa (perhaps uneducated) na mpaka sasa washapata majibu yao...mtu ambae hajawai experience hili tatizo la kupokea hela kutoka nje hawezi elewa hivyo ataropoka (ila kutuma hela kwenda nje au kununulia bidhaa online huwa si tatizo) sasa basi kama si mimi mtuma uzi basi jamii au watu wenye uelewa huu watamweka sawa....manake hakuna chansi tena ya mambo/watu kama haya online sikuhizi...dunia inabadilika tena kama miujiza... Mfano mtu anaropoka na ku comment bila kufikiria, matokeo yake Ndo hayo.....anashia kujilaumu asingefanya, manake Ndo ile kauli ya kizungu isemayo think before you speak/act.

Anyway hii ishu sio ya payoneer ila ni bora zaidi kutokana na pia unaweza kutuma na kupokea hela kupitia namba ya simu yako au email...

Imenichukua miaka mingi sana kujaribu kutatua swala hili la kutuma na kupokea pesa worldwide...kwasababu Tanzania tupo blacklisted... kutokana na historia ya wizi, corruption na maswala ya trust....

Anyway mwenye uhitaji wa huduma hii nicheki....call/Whatsapp: 0624132227..ya ngoswe tumuachie ngoswe....lol.
 
Kwanini hukuorodhesha majina ya bank ambazo wewe ni wakala wake, Na ukaweka Na utaratibu wa kufungua hizo account Na ukaelezea kyc system yako? Tangazo lako lilikuwa very unprofessional
Kwasababu hiyo ni process inayofwata.....!!!.... kwa kifupi ndo maana huwa kuna kuwaga na kipengele kisemacho...kwa maelezo zaidi...au for more info kwenye matangazo....so, guess who's unprofessional...???
 
Kwanini hukuorodhesha majina ya bank ambazo wewe ni wakala wake, Na ukaweka Na utaratibu wa kufungua hizo account Na ukaelezea kyc system yako? Tangazo lako lilikuwa very unprofessional
Uzi haukuwa wangu wala sihusik na hyo biashara binafsi nakerwa na watu wenye fikra za kijima mithili yako.....ungeweza kuuliza hivyo ulivyouliza mapema kabla hujacomment kwa kuchafua biashara ya mtu!!

Kama hujui thaman ya uwekezaji au ugumu wa uthubutu wa kuanzisha project fulan anaoupata mtu daima ....utafanya kama unavyofanya siku zote.....coz unakula bure, na kila mwisho wa mwez una uhakika....

Ifike mahal tuache tabia za kuwa KAA
 
Back
Top Bottom