Kwa bei hiyo atasubiriwa tu mkuuunaweza kumsubiri hadi afikishe miaka 40+ ?
au nadhani ni ng'ombe yule?
Tanesco ya giza ipi?Na mie ngoja nidandie
Kama Muhongo ndiye alikuwa waziri kipindi hicho cha Tanesco ya giza.
Mbona bado yupo? Giza litarudi tena?
NIMEFUNGA MWAKA!!!
Huu ni ubinafsi, HUWAZII WATOTO NA WAJUKUU ZAKO bali unajiwazia wewe tuunaweza kumsubiri hadi afikishe miaka 40+ ?
au nadhani ni ng'ombe yule?