Humfikishi vizuri! jipange vizuri umfikishe ikiwezekana ongeza majonjo atakuheshimu na utafurahia. Pili, jaribu kubadili namna ya uvaaji wako kama hupendi kupendeza sana basi jaribu ataanza kuwa na wivu na hata leta upupu wake. Nimejaribu tu kugues ulichoandika, bora ungemwaga vyote hapa tupate wapi pakuanzia. Weekend njema, naona ulishasepa naye.