Nafikiri Naweza kutengeneza GUIDED MISSILE!

mudy92

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
671
Reaction score
535
Wana jamvi nimekuwa mfuatiliaji sana wa moderm war apparatus! nikawa mdadisi khs MISSILE! nadhani nikipata msaada wa elimu ya KOMPYUTA (SOFTWARE) na UTENGENEZAJI VICHWA VYA SILAHA (WARHEAD) kwa technology bora.

Tunaweza kuwa na missile kama B-40 na AIR DEFENCE SYSTEM kama BUK MISSILE ya urusi....

strong ARMY for strong TANZANIA...
 
Acha utani ndugu yani uweze kutengeneza Buk missile ya Warusi, ima maana wew una akili nyingi sana kushinda mataifa yanayonunua izo missile kutoka kwa Warusi.

Ila pamoja na yote hayo nakutakia kila la kheri uweze kufanikisha malengo yako hayo
 
Mkuu huo msaada wa ellimu unaotaka akiupata yeyote anatengeneza.
Yani ni sawa useme ninahisi ninaweza kuwa daktari, yani nikapata msaada wa elimu ya utabibu na vitendea kazi vya hospitali nadhani naweza kuwa daktari.
 
Hii Post imekaa miaka 5 bila kupata hata mchangiaji mmoja.inaonesha kwamba aina ya taifa na watu tulio nao wana tatizo kubwa sana.
Tena kubwa sanaaa. Ni ya aina ya watu ambao tayari wamejidharau kukubwa sana na kuamini hawawezi.
 
Acha utani ndugu yani uweze kutengeneza Buk missile ya Warusi, ima maana wew una akili nyingi sana kushinda mataifa yanayonunua izo missile kutoka kwa Warusi.

Ila pamoja na yote hayo nakutakia kila la kheri uweze kufanikisha malengo yako hayo
Acha kumkatisha tamaa mwenzio na uwezo wako mdogo wa kufikiri! kwani huko Urusi si ni binadamu wa kawaida ndie alitengeneza!!!?
 
Acha utani ndugu yani uweze kutengeneza Buk missile ya Warusi, ima maana wew una akili nyingi sana kushinda mataifa yanayonunua izo missile kutoka kwa Warusi.

Ila pamoja na yote hayo nakutakia kila la kheri uweze kufanikisha malengo yako hayo
nilitegemea kukutana na hii comment

watu mnajua kuvunja moyo aisee
 
Mtu anatumia muda, akili na nguvu kumkatisha mwenzake tamaa... sisi ndio wana wa Africa
 
Mkuu hi Tabia ya wabongo nomaa sana ,yaani mtu hujalala usiku mzima kwa kufanya project's zako kwaku usiku ndo mda akili imetulia, Anakuja mtu saa 1mlango kukugongea akihisi kaamka mapema basi anakuita kwa dharau" hivi kwanini huwa unapenda kulala Hadi saa hizi...
 
Hahaha hii ndio Bongo kaka
 
Back
Top Bottom