Hoteli ya Lahe ya Mwanza inatarajia kuajiri wapishi 2 wenye sifa zifuatazo:
1. Awe na cheti cha menejimenti ya hoteli kutoka chuo kinachotbulika
2.Awe ana elimu ya sekondari
3.Awe na uzoefu usio pungua miaka miwili(2)
4. Tunapendelea awe anatokea kanda ya ziwa
5. Anaweza kulipwa gharama za malazi/au kupewa chumba cha kuishi kwa makubaliano na mwajiri.
Tuma maombi kwa Mkurugenzi SLP 6129 Mwamza, simu 0655290084, email lahehotels@gmail.com au fika ofisini kuleta maombi yako. Deadline 30.7.2021.