KPS SECURITY COMPANY LIMITED
Security Services
📞 Simu: +255 718142008| +255 763148800
📍 Kilimani, Zanzibar
📍Dodoma, Tanzania
TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA JIJINI DAR-ES-SALAAM NA DODOMA.
KPS Security Company Limited inatangaza nafasi za ajira kwa vijana wanaotimiza vigezo vilivyoainishwa hapa chini.
Tunakaribisha maombi kutoka kwa waombaji wenye sifa stahiki, kwa ajili ya nafasi za kazi katika kampuni yetu ya ulinzi.
MASHARTI YA MWOMBAJI
• Awe raia wa Tanzania mwenye afya njema.
• Awe na kitambulisho halali cha Uraia, Mpiha kura au kingine kinachotambuliwa na JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
• Awe na elimu kwanzia kidato cha Nne na kuendelea.
• Awe na akili timamu.
• Awe na urefu usiopungua futi 5.6 au 5.7..
• Awe na umri kati ya miaka 20 hadi 45.
• Atumie sahihi yake halisi kwenye nyaraka zote za kikazi.
• Asiwe na kesi ya jinai wakati wa kuomba kazi.
NYARAKA ZA KUAMBATANISHA NA MAOMBI
• Barua ya maombi ya kazi, iandikwe kwa mkono na ipelekwe au Itumwe kwa:
Staffing Manager/HR Manager wa,
KPS Security Company Limited,
Kilimani, Zanzibar.
• Vyeti halisi na nakala (copies) vya masomo au fani husika.(O-LEVEL na kuendelea)
• Picha (2) za passport size zilizopigwa hivi karibuni.
• Kitambulisho halisi na kopi (Mtanzania au cha kupiga kura). NIDA au Cha mpiga kura.
• Ushahidi wa mafunzo ya kijeshi au ulinzi:JKT, Polisi au Mgambo (Sifa hizi ni za ziada)
TAHADHARI MUHIMU
• Hakikisha maombi yako yote yanafikishwa moja kwa moja au Kutumwa kwa njia ya WhatsApp kwa wahusika – usikabidhi mtu mwingine ili kuepuka matapeli.